Long distance relationship huanzia kilometa ngapi?

Long distance relationship huanzia kilometa ngapi?

Kwahio we malengo yako ulioweka ni kuwa usitafunwe [emoji23][emoji23][emoji23] hebu kuwa serious!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaani wewe[emoji119][emoji119][emoji119]
 
Hivi kugeuziana migongo na kila mtu blanket lake siku ni long distance ya kilometa ngapi
 
Long Distance ni nje ya mji tu!

Kama safari ya kumfuata mpenzi wako aliko na kuspend nae itakulazimu kumaliza siku nzima na huwezi kurudi mpaka kesho yake basi jua upo kwenye long distance!

Mfano: Mpenzi wako yuko Mbagala,Temeke,Ukonga,Upanga,Msasani,Mikocheni,Mbezi,Bunju,Madale, Buguruni, Ilala Boma, Keko, Kurasini n.k haya maeneo yote yanafikika within minutes to an hour! Unaweza kwenda ukamuona ukamtafuna kisha ukarudi kwako! Distance hazizidi 35kms kwa kwenda na kurudi hizo ni short distances.

Ila we upo Dar mpenzio yuko Morogoro, Tanga, Arusha, Iringa, Mbeya au Mwanza na mikoa yoyote nje ya uliopo hio ni long distance mzee na kuchapiwa ndio kali yake[emoji28][emoji28][emoji28]
Daaah! Kwamba kuchapiwa haikwepeki [emoji4][emoji16][emoji23]

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Haina kilometer ni pale mnapopata ugumu wa kufikiana hiyo tayari ni long distance...
 
Back
Top Bottom