Long distance relationship huanzia kilometa ngapi?

Long Distance ni nje ya mji tu!

Kama safari ya kumfuata mpenzi wako aliko na kuspend nae itakulazimu kumaliza siku nzima na huwezi kurudi mpaka kesho yake basi jua upo kwenye long distance!

Mfano: Mpenzi wako yuko Mbagala,Temeke,Ukonga,Upanga,Msasani,Mikocheni,Mbezi,Bunju,Madale, Buguruni, Ilala Boma, Keko, Kurasini n.k haya maeneo yote yanafikika within minutes to an hour! Unaweza kwenda ukamuona ukamtafuna kisha ukarudi kwako! Distance hazizidi 35kms kwa kwenda na kurudi hizo ni short distances.

Ila we upo Dar mpenzio yuko Morogoro, Tanga, Arusha, Iringa, Mbeya au Mwanza na mikoa yoyote nje ya uliopo hio ni long distance mzee na kuchapiwa ndio kali yake😅😅😅
 
mmmh hii ni Kwa zamani siku hizi Bluetooth inapair na new device. Utasikia triiii Bluetooth is connected
 
Long Distance ni nje ya mji tu!

Kama safari ya kumfuata mpenzi wako aliko na kuspend nae itakulazimu kumaliza siku nzima na huwezi kurudi mpaka kesho yake basi jua upo kwenye long distance!

Mfano: Mpenzi wako yuko Mbagala,Temeke,Ukonga,Upanga,Msasani,Mikocheni,Mbezi,Bunju,Madale, Buguruni, Ilala Boma, Keko, Kurasini n.k haya maeneo yote yanafikika within minutes to an hour! Unaweza kwenda ukamuona ukamtafuna kisha ukarudi kwako! Distance hazizidi 35kms kwa kwenda na kurudi hizo ni short distances.

Ila we upo Dar mpenzio yuko Morogoro, Tanga, Arusha, Iringa, Mbeya au Mwanza na mikoa yoyote nje ya uliopo hio ni long distance mzee na kuchapiwa ndio kali yake😅😅😅
kumbe long distance relationship criteria mojawapo ni kukosa kutafunana, haaaa mbona hata waliopo short distance wanaweza pia kumudu kutotafunana hadi ndoa mkuu.

usitulishe matango pori basi...hahahahahhah
 
Kwa vyakula tunavyopenda wabongo hasa haya ma mikaango kaango na sukari sukari ni rahisi sana kujaza vibubu vyenu😅 inaogofya sana
naelewa ila malengo ni kitu chenye nguvu sana,,,kwa hili naomba uweke lengo lako,,,then utakuja nishukuru baadae

meaning unaweza fikiri haiwezekani na ukaweza,,,si lengo la kudinyana tu bali hata la maendeleo

am of that type and I see things moving
 
Kwahio we malengo yako ulioweka ni kuwa usitafunwe 😂😂😂 hebu kuwa serious!
 
Back
Top Bottom