Inawezekana yupo sahih pia hutegemea na uzito wa ayo mausiano ..
Kuna mausiano ukisema utumie ndege unatamani ata kuwe na usafiri mwengine wa haraka zaidi ya ndege bila kujali gharama ..
Kuna mausiano mengine ata kutumia daladala tu unajifikiria Mara mbili mbili
Kwaiyo haya Mambo Yana depends na thamani ya mtu unae deal nae .. unampenda , kumthamini , kumjali , kumueshi kias gani .. inshort penzi lenu linauzito kias gani ... Kama aifiki ata kilo 1 Bas ata uki date na mtu yupo chumba Cha pili kutoka kwako bado utaona Ni Long distance .. [emoji16]