kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 18,706
- 23,345
Kuazia mkeo anavotoka kigamboni kwenda kariakoo au msavu kwenda kihonda
Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
Hata mbezi na Ubungo mkuu? Ingawa unaweza kunyosha goti kwa hii distanceKama kumfuata mpaka upande chombo chochote cha usafiri hiyo ni LDR.
Expert himselfLong Distance ni nje ya mji tu!
Kama safari ya kumfuata mpenzi wako aliko na kuspend nae itakulazimu kumaliza siku nzima na huwezi kurudi mpaka kesho yake basi jua upo kwenye long distance!
Mfano: Mpenzi wako yuko Mbagala,Temeke,Ukonga,Upanga,Msasani,Mikocheni,Mbezi,Bunju,Madale, Buguruni, Ilala Boma, Keko, Kurasini n.k haya maeneo yote yanafikika within minutes to an hour! Unaweza kwenda ukamuona ukamtafuna kisha ukarudi kwako! Distance hazizidi 35kms kwa kwenda na kurudi hizo ni short distances.
Ila we upo Dar mpenzio yuko Morogoro, Tanga, Arusha, Iringa, Mbeya au Mwanza na mikoa yoyote nje ya uliopo hio ni long distance mzee na kuchapiwa ndio kali yake[emoji28][emoji28][emoji28]
Karibu mkuuExpert himself
Ata mtaa moja kwenda mtaa mwingine nayo ni long distance kwenye mapenzi, napo ni hatari tu.Eti wanajamii kuanzia umbali gani ambapo mahusiano yanachukuliwa kama long distance relationship?
Nawasilisha.
Maneno yameniogopesha mno mkuu....Heheheheh sasa usipomtafuna si unajua atakuwa anatafunwa tu mahali flani😅
Nishavuta kigoda kabisa hapa.Karibu mkuu
Yaani hata kama kituo kimojaHata mbezi na Ubungo mkuu? Ingawa unaweza kunyosha goti kwa hii distance
Ushukuru Mungu kuwa ulibahatika kupata mwanamke anayetaka kuwa mkeNishavuta kigoda kabisa hapa.
Mimi na wife tumedumu sana kwa long distance kabla hatujawekana ndani. Bila vipando(usafiri) tusingeonana live
Kweli mkuu ila alihofia sana relationship kuishia njiani, akawa mgumu kukubali, mimi nikamaanisha. Hatimaye kazi ikaisha.Ushukuru Mungu kuwa ulibahatika kupata mwanamke anayetaka kuwa mke
Ndio nasema ulibahatika kuwa na mtu ambaye amefika alfa na omega anataka mume serious! Tunasema ni wakati wa Mungu ulifika tu.Kweli mkuu ila alihofia sana relationship kuishia njiani, akawa mgumu kukubali, mimi nikamaanisha. Hatimaye kazi ikaisha.
Uaminifu kwa pande zote ni muhimu sana katika kutengeneza bond imara
hapana Extrovert, malengo mengine tu ,,,hahahahahha hebu kuwa serious bhana!!!! read between the linesKwahio we malengo yako ulioweka ni kuwa usitafunwe 😂😂😂 hebu kuwa serious!
[emoji3064][emoji3064] Kama hulali naye room moja kitanda kimoja hiyo ni long distance relationship no matter what[emoji1][emoji1]
Natolea mfano wa Dar to Mbeya kwa bus ni almost masaa 13 hadi kumi na nne lakini kwa ndege ni 1hr na 45min labda 2hrs sasa hii hapa mtu si anamfuata mpenzi wake anaspend day anageuza na ndege ya jioni na anafika kwake.Kuna mtu kaongelea amount of money ndio inadetermine long distance relationship ina maana yupo sahihi??Long Distance ni nje ya mji tu!
Kama safari ya kumfuata mpenzi wako aliko na kuspend nae itakulazimu kumaliza siku nzima na huwezi kurudi mpaka kesho yake basi jua upo kwenye long distance!
Mfano: Mpenzi wako yuko Mbagala,Temeke,Ukonga,Upanga,Msasani,Mikocheni,Mbezi,Bunju,Madale, Buguruni, Ilala Boma, Keko, Kurasini n.k haya maeneo yote yanafikika within minutes to an hour! Unaweza kwenda ukamuona ukamtafuna kisha ukarudi kwako! Distance hazizidi 35kms kwa kwenda na kurudi hizo ni short distances.
Ila we upo Dar mpenzio yuko Morogoro, Tanga, Arusha, Iringa, Mbeya au Mwanza na mikoa yoyote nje ya uliopo hio ni long distance mzee na kuchapiwa ndio kali yake[emoji28][emoji28][emoji28]
Ahsante kwa muongozo wa bitwini lainihapana Extrovert, malengo mengine tu ,,,hahahahahha hebu kuwa serious bhana!!!! read between the lines
una vijimambo sana
hapana Extrovert, malengo mengine tu ,,,hahahahahha hebu kuwa serious bhana!!!! read between the linesKwahio we malengo yako ulioweka ni kuwa usitafunwe 😂😂😂 hebu kuwa serious!
hahahahh ambia na Extrovert apitie hapaAhsante kwa muongozo wa bitwini laini
Hahahahaha yupo sahihi ila it works in some instances!Natolea mfano wa Dar to Mbeya kwa bus ni almost masaa 13 hadi kumi na nne lakini kwa ndege ni 1hr na 45min labda 2hrs sasa hii hapa mtu si anamfuata mpenzi wake anaspend day anageuza na ndege ya jioni na anafika kwake.Kuna mtu kaongelea amount of money ndio inadetermine long distance relationship ina maana yupo sahihi??
Nimekuelewa sana chemistry ni muhimu kwenye mahusiano na mkiwa na chemistry lazima mawasiliano yawepo kitu ambacho nadhani ndio cha muhimu zaidi kwenye LDR kwa sababu mkiwa mbali then hamna mawasiliano hapo hamna uhusiano.Hahahahaha yupo sahihi ila it works in some instances!
Kwenye upande wa LDR substance kubwa ni chemistry baina yenu wapenzi na uaminifu baina yenu ndio utayapa uhai mahusiano hasa mkiwa na mawasiliano ya karibu. Ukipata patner ambaye ana keep it real jua kabisa kuwa uhusiano utadumu sana tu.Huyu anakuwa amekupenda au mmependana kwa dhati!
Tukija kwenye pesa hii ni kwa team maslahi ya mahusiano, wale wanaothamini monetary benefits kuliko utu wa mtu ndio ambao kwao pesa ni kitu cha maana kwao! Unapokutana na mtu kama huyu kwenye mahusiano kukusaliti ni easy tu hasa ukiwa mbali. Hawakuheshimu as a person so ni pesa tu mwenye nazo anajitafunia mzigo. Ukija sanuka mnapigana chini life linasonga.
Yes! Yani ishu iko kwenye lengo tu la mtu na hivyo moyo wa mtu kichaka ni noma zaidi!Nimekuelewa sana chemistry ni muhimu kwenye mahusiano na mkiwa na chemistry lazima mawasiliano yawepo kitu ambacho nadhani ndio cha muhimu zaidi kwenye LDR kwa sababu mkiwa mbali then hamna mawasiliano hapo hamna uhusiano.
Upande wa wanaoangalia hela tuseme tu "to each their own"hawa wanafuata hela hawafuati mapenzi ndio maana wakiwa mbali na wenza wao cheating ni rahisi sana kwao