Loneliness

Naweza kukusaidia?
Mwankina aliyekuwa mkuu wa Itope Sec school kyela?


Sijajua...alikua mtaalam wa histry..amenifundishaga kidg kbla sijachepukia science..alikua ana kigugumiz hivi .!hakukaa sana pale shule. sikujua aljwnda wapi
 
Samahan kwa usumbufu.

Wew unazungumzia alikaa sana shule gan?


Hakukaa kivilee shulen kwetu ...huenda atakuwa huyo alikuwa mzuri sana kwa histry ..najaribu kumkumbuka mwanaye wakike akili imesahau anywys basi!
 
Ndio nakuwaga hivyo ila ikifika mahali nimebanwa sana na hawa boy wetu wasivyopenda kuomba, siombiii na ndio napomkumbuka sasa ningekuwa kama wenzangu si ndio ningekuwa namdekea we acha tuu but one day yes.
 
Karne hii unakuaje mpweke sema labda kihisia (mahusiano) ila kama kampani mbona vitu vingi mkuu.. Tena kazi unayo just unga ma bundle ya kutosha zama you tube cheki komedi za kina joti, Churchill show, bad boys, au tafuta video games pes 19 au fifa 19 hapo huwezi kua mpweke labda uwe umetupiwa jini domozege.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…