Loneliness

Asante sana kwa busara zako
 

Mkuu stage uliofikia solution ni KUOA
 
Mbona mnasemaga wanawake ni wengi kwa nini usioe mkuu?

Ukirudi home unakuta yupo kukusubiri mnapiga story mnacheza mnataniana hapo vipi?
Af kuna mbulula anakuja na uzi na kusema watu tusioe. Shenzi kabisa, ukiwa na mke kama rafiki yako huwezi kujifeel upweke hata siku moja. Do all the crazy stuffs together
 
Punyeto sio nzuri kiafya acha Mara moja
 
Kama una kazi naamini pesa si tatizo sana.

Unateswaje na upweke?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…