That is an utopia my dear... I can't see how.When will this world be peaceful and in harmony for everyone????
MWALIasante sana kwa hiki kitabu
Bado ninajiuliza kwa nini Kenya ilijiingiza kwenye vita hivi bila ya kushauriana na viongozi wa EAC, ambapo ukiwachia Ruanda na Burundi ambazo bado hawajaonja (nafikiri) joto ya Al-Shabaab/Al-Qaeda nchini mwao, zilizobakia zote ni waathirika wa mashambulizi ya hawa wanamgambo. Kama wangeunganisha nguvu zao pamoja na Ethiopia na Djobouti chini ya uongozi wa AMISOM, ingekuwa afadhali (sio rahisi).. Like Tanzania na EAC nzima ilitakiwa kusupport, kuchangia, AU kutuma majeshi na pesa etc. But nothing happened.
Hiki kitu hakiwezekani. Sina hakika sana, lakini nina wasiwasi kuwa kuanzia siku ilipoanza WWI mpaka leo, dunia imekuwa uwanja wa vita na mateso mfululizo. Ikiwa kuna mtu aliye na kumbukumbu ya siku ambazo kumekuwa na amani bila ya vita katika kipindi hicho au katika historia ya Mwana wa Adam.That is an utopia my dear... I can't see how.
But it can become a better place if we want. Not perfect, but better.
MAMMAMIA, Kenya kama wanalalamika, kwa jinsi navyowajuwa, lazima itakuwa ni kwamba hawajapewa pesa ya kutosha, ndo maana wanalalamika.MAMMAMIA said:Bado ninajiuliza kwa nini Kenya ilijiingiza kwenye vita hivi bila ya kushauriana na viongozi wa EAC,
Wajameni hii ya kuwahukumu maharamia wa Kisomali ni neema ya aina yake kwa mfumo wa mahakama zetu hapa nchini kama ilivyo neema ya ICTR kule Arusha!.Waliombwa kukubali host mahakama za kuwahukumu wasomali watakaokuwa wanakamtwa baharini....tusubiri kulipiziwa na hao janjaweed
Wajameni hii ya kuwahukumu maharamia wa Kisomali ni neema ya aina yake kwa mfumo wa mahakama zetu hapa nchini kama ilivyo neema ya ICTR kule Arusha!.
Tanzania kama nchi hatuna mahakama yenye hadhi ya kuhost kesi yoyote ya kimataifa, hata ile ICC iliyotoa iloyosikiliza shauri la Dowans na kuilipisha Tanesco ilikaa hotelini Moven Pick au Kempinski!.
Tanzania sio tuu haina mahakama zenye hadhi hiyo, pia hatuna mahabusu zenye hadhi ya kuwashikilia watuhumiwa wa kimataifa na hatuna jela zenye hadhi ya kuwafunga kutumikia vifungo vyao!.
Wale watuhumiwa wote wa ICTR wanashikiliwa katika majumba ya kifahari kama mahabusu zao!. Wanapiga menu ya maana kutoka mahoteli ya kuaminika na wakisha hukumiwa, wanapelekwa magereza ya ulaya yenye hadhi!.
Hivyo kitendo cha Tanzania kukubali kuwahumu wahalifu hawa, kunamaanisha kwanza Tanzania itajengewa uwezo wa kudumu wa mahakama za kimataifa, mahabusu za kimataifa na magereza ya kimataifa na ili kupunguza double standards za tofauti kati ya mahakama, mahabusu na magereza locals na international, tutajikuta pia tunalazimika kubadilisha hizo locals zifananie!.
Jeshi letu litawezeshwa kulinda doria ya uhakika baharini dhidi ya tishio lolote la retaliation ya Alshababi na jeshi la Kenya litawezeshwa na kupewa baraka zote kuivamia Somalia kuwafyeka Alshababi!. Alshababi wata kwisha, Somalia ita settle na Waingereza watajitwalia mafuta yao kufidia gharama zao zote walizoingia!.
Mkuu, sasa moto ndio unataka kuwaka SomaliaLabda Somalia itatulia sasa, lakini at some expenses of people's lives. Sasa hawa akina JK na Membe walienda kufanya nini kama deal ni la UK na somalia, au ndiyo wanazi wenyewe wa project?
Labda Somalia itatulia sasa, lakini at some expenses of people's lives. Sasa hawa akina JK na Membe walienda kufanya nini kama deal ni la UK na somalia, au ndiyo wanazi wenyewe wa project?
hivi kweli mtu unafurahia kujengewa gereza,mahakama at the expense ya kulipuliwa mabomu? Hii akili imetoka wapi,ee Mungu rudi mapema waja wako tunateseka kiuchumi,kimawazo,kiafya hata ushauri ovyo! Kwa nn hao ictr hawakujenga magereza na mahabusu yao? Huo msosi kwani unalipwa na serikali ya tanzania? Humu ndani kwenyewe kuna wasomali kibao,unadhani hiyo mipaka ikilindwa watashindwa kuingia? Umeshasikia mara ngapi fuso imekamatwa na wasomali,mipaka hailindwi? Kwa nn hizo mahakama wasijenge kenya ambao wamejitolea kupambana nao,kenya wamestuka nini? Ogopa sana kucheza na mtu anayefikiri kujilipua na kuua ndo ukombozi wake,ni tofauti kabisa na anayekufyatulia risasi.
Wajameni hii ya kuwahukumu maharamia wa Kisomali ni neema ya aina yake kwa mfumo wa mahakama zetu hapa nchini kama ilivyo neema ya ICTR kule Arusha!.
Tanzania kama nchi hatuna mahakama yenye hadhi ya kuhost kesi yoyote ya kimataifa, hata ile ICC iliyotoa iloyosikiliza shauri la Dowans na kuilipisha Tanesco ilikaa hotelini Moven Pick au Kempinski!.
Tanzania sio tuu haina mahakama zenye hadhi hiyo, pia hatuna mahabusu zenye hadhi ya kuwashikilia watuhumiwa wa kimataifa na hatuna jela zenye hadhi ya kuwafunga kutumikia vifungo vyao!.
Wale watuhumiwa wote wa ICTR wanashikiliwa katika majumba ya kifahari kama mahabusu zao!. Wanapiga menu ya maana kutoka mahoteli ya kuaminika na wakisha hukumiwa, wanapelekwa magereza ya ulaya yenye hadhi!.
Hivyo kitendo cha Tanzania kukubali kuwahumu wahalifu hawa, kunamaanisha kwanza Tanzania itajengewa uwezo wa kudumu wa mahakama za kimataifa, mahabusu za kimataifa na magereza ya kimataifa na ili kupunguza double standards za tofauti kati ya mahakama, mahabusu na magereza locals na international, tutajikuta pia tunalazimika kubadilisha hizo locals zifananie!.
Jeshi letu litawezeshwa kulinda doria ya uhakika baharini dhidi ya tishio lolote la retaliation ya Alshababi na jeshi la Kenya litawezeshwa na kupewa baraka zote kuivamia Somalia kuwafyeka Alshababi!. Alshababi wata kwisha, Somalia ita settle na Waingereza watajitwalia mafuta yao kufidia gharama zao zote walizoingia!.
Mbona unashangaa Mkuu? Huyu ndie Pasco!:shock::shock:
Mbona unashangaa Mkuu? Huyu ndie Pasco!
Kuna siku alianzisha thread ya kusema stripping clubs ni alama ya maendeleo
Sababu nchi itajengwa kwa kodi watakayo lipa stippers.
Na akasisitiza kua yeye ni mataalam wa maendeleo (graduated with an A)
Pia anadai ni graduate wa sheria. Kama mwanasheria anadhani hiyo ndio njia ya kuboresha mahakama na magereza, then labda ndio maana Mtikila alitaka kuajiri wanasheria wa Kinaigeria kwenye kesi zake.