London doctor

London doctor

Very true. Message imefika and that is the most important thing. We all mistakes here and there.

Sure, that's how matured people correct each other. Take care.
 
Mpe pole Mama Mungu atamsaidia.

Ila kuhusu hayo mengine bora uachane nayo. Utatamani wangapi? Bado mimi siku tukikutana hautakula siku tatu

Asante pole ya mama nimeipokea kwa niaba.

Weeh ntaachana nayo vipi japo niko singo sijaolewa wala sina mtoto haimaanishi kuwa mimi ni mtawa, nikiwashwa shurti nikunwe atii na hapo ndo panakuwa na raha kati ya mkunaji na mkunwaji.........

Kutamani ni dhambi, sijamtamani dokta ila nime mu admire.............. sasa hapo maana yake kwa kiswahili sijui ni kumzimikia au kumfia.......... hata sielewi, Moyo ndo huwa unatamani na ukiweza kuudhibiti basi itabakitamaa bila kuushirikisha mwili na kufanya kitendo, ila ukiushirikisha mwili ndo vitendo huanza vikisukumwa na tamaa iliyoanzia moyoni.

Hhahahahaaa usiombe kukutana na Kasie, utaomba poo uje kuanzisha uzi huku, ati nisile siku tatu utaniwekea madawa ya kulevya au? Na hadi sasa umeshawashindisha njaa siku tatu tatu wangapi? hujawahi kupata mada kesi ya kumzimisha mtu? kama huwa unawalaza njaa wengi kwa siku tatu ni bora uwahi hospital best maana huo ni ugonjwa.
Kasie.
 
Huo ubatizo naupokea kwa mikono miwili, so itakuwa Baba na Mama wa ma-crush!

Kuna mtu anatafuta kipigo kwa kusema eti Doctor hajaacha namba kwa sababu ...!

cc RRONDO

Hhahahahaa babaa ma - crush aka Raimundo asante kwa kupokea jina la ubatizo.
 
Last edited by a moderator:
Good Afternoon ladies and gentlemen,
It is my pleasure to great you this morning.

dah... nyny watoto wa kishua... vacation s.africa... si wengine london ntabaki kuiona kwenye themes na wallpaper za windows.
 
Noted na mkanganyiko huu umetokea coz hii thread niliiandika asubuhi na nikaipost mchana na hapo nimerudi kui edit mara 3.
Corrections accepted.
 
Jamani umenifanya nijisikie vibaya, pole Kasie sio mtoto wa kishua ni vile tuu life yake ameamua kujilipua as hana mume hana mtoto pesa yake inaishia kujirusha na kujifurahisha. Sina anayenitegemea hivo kuruka huku na kule kwangu ndo life, exploring world's nature and God's creations.
May be ningekuwa pesa yangu naimalizia kwenye pombe au kuhonga serengeti boys lakini na save 80 % ya income yangu kwa mwaka na kujirusha kusafiri sehemu mbali mbali. Note travelling is my hobby.
Halafu Kasie ni mtu mzima kwa sasa hivo nakula raha za mwisho mwisho kabla sijastaafu.
Usiumie moyo na kujiona mnyonge bali pambana fanya kazi kwa bidii weka akiba na uitumie kujiendeleza.
Usiku mwema ndugu.
 
Jamani umenianza nijisikie vibaya, pole Kasie sio mtoto wa kishua ni vile tuu life yake ameamua kujilipua as Hana mume Hana mtoto pesa yake inaishia kujibu duniani na kujifurahisha. Sina anayenitegemea hivo kutukanwa huku na kule kwangu ndo life exploring world's nature and God's creations.
May be ningekuwa pesa yangu naimalizia kwenye pombe au kuhonga serengeti boys lakini na save 80 % ya income yangu kwa mwaka na kujirusha kusafiri sehemu mbali mbali. Note travelling is my hobby.
Halafu Kasie ni mtu mzima kwa sasa hivo nakula raha za mwisho mwisho kabla sijastaafu.
Usiumie moyo na kujiona mnyonge bali pambana fanya kazi kwa bidii weka akiba na uitumie kujiendeleza.
Usiku mwema ndugu.

ahsante sana kwa ushauri... ni kwel nilikosea kusema wewe ni mtoto wa kishua... wewe ni mshua.
 
Jamani umenifanya nijisikie vibaya, pole Kasie sio mtoto wa kishua ni vile tuu life yake ameamua kujilipua as hana mume hana mtoto pesa yake inaishia kujirusha na kujifurahisha. Sina anayenitegemea hivo kuruka huku na kule kwangu ndo life, exploring world's nature and God's creations.
May be ningekuwa pesa yangu naimalizia kwenye pombe au kuhonga serengeti boys lakini na save 80 % ya income yangu kwa mwaka na kujirusha kusafiri sehemu mbali mbali. Note travelling is my hobby.
Halafu Kasie ni mtu mzima kwa sasa hivo nakula raha za mwisho mwisho kabla sijastaafu.
Usiumie moyo na kujiona mnyonge bali pambana fanya kazi kwa bidii weka akiba na uitumie kujiendeleza.
Usiku mwema ndugu.

Shikamo kasinde
 
He left his number and the other doctor's number who will help my mama at Muhimbili. Sijampigia na sijui kama nitampigia ila nimeanza mipango ya kulekea UK mwisho wa mwaka huu kwa ajili ya likizo, potelea pote pesa inatafutwa after all sina cha kupoteza.

Habari ya kuwa nalipa au silipi mie hahinihusu, atajijua mwenyewe na kilichomleta mezani tulipokuwa tumekaa. After all umri wangu umeenda kama niko menopause makunyanzi yameanza usoni na poda haikai wanja hauingii mvuto haupo. Ukizingatia sura yangu imekopy kwa dingi wangu mie labda kuvutia nyanda za kati kusini ila uso ziro, shepu ziro, ngozi imefubaa, mvi kibao kichwani zimenijaa ukizingatia nilikuwa nimevaa dera la Kariakoo ndo kabisaaaa pamoja na hayo yote dokta aliacha namba hata sielewi au alikuwa amekunywa.... may be... wanaume mnachowazaga akilini mwenu saa ingine mnajua wenyewee.
na uzee wote huo umetongozwa kitoto kabisa, kwanza ujue muhimbili muhimbili kuna madaktari feki balaa ,usikute ni mchongo wa kukulia hela,pili uenda ni njia ya kukula papuchi na i am telling you huyo dokta hayupo naapa kwa jina la Yesu siku ukienda atakwambia kaenda sabatical leave south africa,wanawake kwa kudanganywa
 
Noted na mkanganyiko huu umetokea coz hii thread niliiandika asubuhi na nikaipost mchana na hapo nimerudi kui edit mara 3.
Corrections accepted.

Well understood....huo ndio uungwana na ukomavu wa kifikra.
Ila uzi wako una acha maswali mengi sana yasiyo na majibu
kwani huyo mtu (generosity ) namna hiyo kumpata sio kazi ndogo.
May be ndo ilikuwa bahati yako.
 
na uzee wote huo umetongozwa kitoto kabisa, kwanza ujue muhimbili muhimbili kuna madaktari feki balaa ,usikute ni mchongo wa kukulia hela,pili uenda ni njia ya kukula papuchi na i am telling you huyo dokta hayupo naapa kwa jina la Yesu siku ukienda atakwambia kaenda sabatical leave south africa,wanawake kwa kudanganywa

Nimecheka sana ...nikakumbuka dr. Ulimboka alivyopewaga
Sabbatical leave ya ghafla bin vuu baada ya ule mgomo wao ....
 
He left his number and the other doctor's number who will help my mama at Muhimbili. Sijampigia na sijui kama nitampigia ila nimeanza mipango ya kulekea UK mwisho wa mwaka huu kwa ajili ya likizo, potelea pote pesa inatafutwa after all sina cha kupoteza.

Habari ya kuwa nalipa au silipi mie hahinihusu, atajijua mwenyewe na kilichomleta mezani tulipokuwa tumekaa. After all umri wangu umeenda kama niko menopause makunyanzi yameanza usoni na poda haikai wanja hauingii mvuto haupo. Ukizingatia sura yangu imekopy kwa dingi wangu mie labda kuvutia nyanda za kati kusini ila uso ziro, shepu ziro, ngozi imefubaa, mvi kibao kichwani zimenijaa ukizingatia nilikuwa nimevaa dera la Kariakoo ndo kabisaaaa pamoja na hayo yote dokta aliacha namba hata sielewi au alikuwa amekunywa.... may be... wanaume mnachowazaga akilini mwenu saa ingine mnajua wenyewee.

Is like a stor and sweet but ukija upande wa mama a.k.a bi mkubwa i better say sory and May God take her hand in white hands lines.
 
Back
Top Bottom