Mpe pole Mama Mungu atamsaidia.
Ila kuhusu hayo mengine bora uachane nayo. Utatamani wangapi? Bado mimi siku tukikutana hautakula siku tatu
dah... nyny watoto wa kishua... vacation s.africa... si wengine london ntabaki kuiona kwenye themes na wallpaper za windows.
Jamani umenianza nijisikie vibaya, pole Kasie sio mtoto wa kishua ni vile tuu life yake ameamua kujilipua as Hana mume Hana mtoto pesa yake inaishia kujibu duniani na kujifurahisha. Sina anayenitegemea hivo kutukanwa huku na kule kwangu ndo life exploring world's nature and God's creations.
May be ningekuwa pesa yangu naimalizia kwenye pombe au kuhonga serengeti boys lakini na save 80 % ya income yangu kwa mwaka na kujirusha kusafiri sehemu mbali mbali. Note travelling is my hobby.
Halafu Kasie ni mtu mzima kwa sasa hivo nakula raha za mwisho mwisho kabla sijastaafu.
Usiumie moyo na kujiona mnyonge bali pambana fanya kazi kwa bidii weka akiba na uitumie kujiendeleza.
Usiku mwema ndugu.
Nimependa hizo dimpo zako na hilo panki baaasss.
Jamani umenifanya nijisikie vibaya, pole Kasie sio mtoto wa kishua ni vile tuu life yake ameamua kujilipua as hana mume hana mtoto pesa yake inaishia kujirusha na kujifurahisha. Sina anayenitegemea hivo kuruka huku na kule kwangu ndo life, exploring world's nature and God's creations.
May be ningekuwa pesa yangu naimalizia kwenye pombe au kuhonga serengeti boys lakini na save 80 % ya income yangu kwa mwaka na kujirusha kusafiri sehemu mbali mbali. Note travelling is my hobby.
Halafu Kasie ni mtu mzima kwa sasa hivo nakula raha za mwisho mwisho kabla sijastaafu.
Usiumie moyo na kujiona mnyonge bali pambana fanya kazi kwa bidii weka akiba na uitumie kujiendeleza.
Usiku mwema ndugu.
na uzee wote huo umetongozwa kitoto kabisa, kwanza ujue muhimbili muhimbili kuna madaktari feki balaa ,usikute ni mchongo wa kukulia hela,pili uenda ni njia ya kukula papuchi na i am telling you huyo dokta hayupo naapa kwa jina la Yesu siku ukienda atakwambia kaenda sabatical leave south africa,wanawake kwa kudanganywaHe left his number and the other doctor's number who will help my mama at Muhimbili. Sijampigia na sijui kama nitampigia ila nimeanza mipango ya kulekea UK mwisho wa mwaka huu kwa ajili ya likizo, potelea pote pesa inatafutwa after all sina cha kupoteza.
Habari ya kuwa nalipa au silipi mie hahinihusu, atajijua mwenyewe na kilichomleta mezani tulipokuwa tumekaa. After all umri wangu umeenda kama niko menopause makunyanzi yameanza usoni na poda haikai wanja hauingii mvuto haupo. Ukizingatia sura yangu imekopy kwa dingi wangu mie labda kuvutia nyanda za kati kusini ila uso ziro, shepu ziro, ngozi imefubaa, mvi kibao kichwani zimenijaa ukizingatia nilikuwa nimevaa dera la Kariakoo ndo kabisaaaa pamoja na hayo yote dokta aliacha namba hata sielewi au alikuwa amekunywa.... may be... wanaume mnachowazaga akilini mwenu saa ingine mnajua wenyewee.
Noted na mkanganyiko huu umetokea coz hii thread niliiandika asubuhi na nikaipost mchana na hapo nimerudi kui edit mara 3.
Corrections accepted.
na uzee wote huo umetongozwa kitoto kabisa, kwanza ujue muhimbili muhimbili kuna madaktari feki balaa ,usikute ni mchongo wa kukulia hela,pili uenda ni njia ya kukula papuchi na i am telling you huyo dokta hayupo naapa kwa jina la Yesu siku ukienda atakwambia kaenda sabatical leave south africa,wanawake kwa kudanganywa
He left his number and the other doctor's number who will help my mama at Muhimbili. Sijampigia na sijui kama nitampigia ila nimeanza mipango ya kulekea UK mwisho wa mwaka huu kwa ajili ya likizo, potelea pote pesa inatafutwa after all sina cha kupoteza.