Asante boss...
Tutaiweka kwenye mashelvu kwanza hadi tupige hela za kutosha kutoka kwa mitembo yetu hiyo "Midubwana yajizalia yenyewe huko porini, we yakuuma nini" mwisho wa kunukuu
Kikwete amealikwa makusudi ili aaibishwe kwa dunia nzima,,, ndio maana kila interview jana alikuwa anaulizwa kuhusu na yeye kuhusika kwenye hiyo biashara. Mwizi anapokabidhiwa kulinda bidhaa anayopenda kuuiba zaidi,,, mwizi wa tembo analinda tembo...
Find out mule Ivory Room, tuna pembe za ndovu tani ngapi?, tumezihifadhi za nini?!. Wenzetu Kenya walizichoma nhadharani, sisi kila tukizishika tunazitaifisha na kuzihifadhi for what?!.Pasco.
Find out mule Ivory Room, tuna pembe za ndovu tani ngapi?, tumezihifadhi za nini?!. Wenzetu Kenya walizichoma nhadharani, sisi kila tukizishika tunazitaifisha na kuzihifadhi for what?!.
Oneni walichofanya wenzetu Kenya