Lolote linaweza kutokea kabla ya 25/10/2015

Lolote linaweza kutokea kabla ya 25/10/2015

WATU WENGINE KWELI TEMPORAL INSANITY.HOW CAN YOU BUILD YOUR COUNTRY WITH SUCH STUPIDITY IDEA?NOTHING WILL HAPPEN TO HIM NOR TO ANY CANDIDATE IN ONE our country.God forbidden.

who knows, are you the chosen prophet or an angel from heaven? only God knows, period!
 
Huyu pasco sijui tumpe jina gani kulingana na usaliti wake.ulisema iwe mvua au jua lowassa ndo rais wa awamu ya 5.sasa tena umegeukia kwa magufuli au kuna masilahi unafataga?
 
Tuwe na Amani tu,na tuzidi kumuomba Mungu mapenzi yake yatimie!
 
Ningekuwa na uwezo ninge epusha hayo yote uliyoyataja,ila kwakuwa sina uwezo huo basi wacha tutawaliwe na huyo mwanamke amina
 
Mkuu President Elect, kwanza acha kuwa 'a prophets of the doom' kwa kuwazia mabaya!. Maneno huumba, ila pia dua la kuku halimpati mwewe!.

Jee umeelezwa kuwa likitokea la kutokea mshindi wa pili ndio anakuwa mgombea wa CCM automatically?!.

Kumbe hujui the deal ilikuwa ni "the chosen one" asindikizwe na maboya mawili!, mwanzo the plan ilikuwa asindikizwe na Pinda na Bilal, "Wazee wa CCM" wakashauri sio vema kuwadhihaki waheshimiwa hawa kwa kuwafanya ndio escort!, ndipo ikaamuliwa escort wawe weak candidates mind well jina la Magufuli halikuwa chaguo la JK!, bali ilibidi tuu liingizwe kwa sababu fulani, kaisome HAPA !, na kuimalizia HAPA!.

Ni kufuatia sababu hiyo!, nothing can happen to Magufuli!, hakuna lolote la kutokea kwa Magufuli hata kama that is what you wish for!. Pole!.

Magufuli ndie rais wa 5 wa Tanzania!.

Pasco

Binafsi siamini habari ya ""chosen one"" hiyo kama ilipangwa ilasha abort failed attempt.

Naomba ni jibu, kwa nini kura hazikuhesabiwa usiku ule?
1. Kwa nini wajumbe walalale kwanza? Kama unavyojua chama chetu uchakachuaji ni jadi hata kama ni kumkana mama yako kwao sawa. Jaribu kuanalise matokeo, je unayaamini?
2. Je nini role ya ze mkapa? Je huyu ana influence yoyote?

Kwangu mimi tukalale kwanza ni kupumbaza na kuchakachua, matokeo yale hata mtoto wa darasa la saba kama mimi sintaweza kubali. Uchakuzi wa Magufuli ni compromise aliyo mastermind Mkapa. Na yeye amehadi kuwalinda
3. Je huamini kuwa

Ningekuwa na uwezo ninge epusha hayo yote uliyoyataja,ila kwakuwa sina uwezo huo basi wacha tutawaliwe na huyo mwanamke amina

maombi yako mwenyezi Mungu ayasikie, na wote tuseme Aminaaaaaaaa!!!!
 
Wazo lako kama hilo assume Lipumba, Slaa na Mbowe wapate ajali na kurest in peace. Hao watatu tu. Unadhani ukawa na chadema vitakuwepo tena???
 
Binafsi siamini habari ya ""chosen one"" hiyo kama ilipangwa ilasha abort failed attempt.

Naomba ni jibu, kwa nini kura hazikuhesabiwa usiku ule?
1. Kwa nini wajumbe walalale kwanza? Kama unavyojua chama chetu uchakachuaji ni jadi hata kama ni kumkana mama yako kwao sawa. Jaribu kuanalise matokeo, je unayaamini?
2. Je nini role ya ze mkapa? Je huyu ana influence yoyote?

Kwangu mimi tukalale kwanza ni kupumbaza na kuchakachua, matokeo yale hata mtoto wa darasa la saba kama mimi sintaweza kubali. Uchakuzi wa Magufuli ni compromise aliyo mastermind Mkapa. Na yeye amehadi kuwalinda
3. Je huamini kuwa

Mkuu Deo, nenda kasome HAPA !, The chosen one was Bernard Membe, na fall out was January Makamba, but piga ua galagaza, it had to be JPM!.

Pasco
 
Wazo lako kama hilo assume Lipumba, Slaa na Mbowe wapate ajali na kurest in peace. Hao watatu tu. Unadhani ukawa na chadema vitakuwepo tena???

yamkini hujapitia vichwa vya habari vya magazeti ya leo, ungeguswa na stori ya mgombea 'wa nne' wa Ukawa!
 
Ccm itatawala milele kwan hata sis watanzania hatukujiandaa na mageuzi.kwan mpaka sasa upinzan halis upo mtwara.arusha.moshi.irnga.sis huku kwetu dodoma.tbr.shinynga.singida.manyara.morogoro.dsm.ruvuma.njombe.katav.rukwa mwanza hatujui maana ya mageuzi.sijui itakuwaje??
 
Back
Top Bottom