Lolote linaweza kutokea kabla ya 25/10/2015

President Elect

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
693
Reaction score
212
Je CCM wanajua kwamba lolote linaweza kutokea kabla ya uchaguzi mkuu tarehe 25/10/2015?
Mwenyezi Mungu aepushie mbali, ila ikitokea mathalani mgombea urais wao akapatwa na janga kama ajali, maradhi au kufariki dunia kabla au wakati wa kampeni basi atakayechukua nafasi yake si mwingine bali aliyekuwa mshindi wa pili katika tatu bora, balozi Amina!
Tufikiri nje ya box, je CCM itashinda uchaguzi ikiwa imebanwa kwenye kona katika hali kama hiyo? Bila kusahau Tume ya Taifa ya Uchaguzi nayo italazimika kuahirisha uchaguzi mkuu hadi mapema mwakani!

Mungu atupe uzima, na atuepushie mbali balaa zote kwa wagombea wa urais kutoka vyama vyote hasa CCM, wote tuseme Aminaaaaa!!!!!
 
Mkuu President Elect, kwanza acha kuwa 'a prophets of the doom' kwa kuwazia mabaya!. Maneno huumba, ila pia dua la kuku halimpati mwewe!.

Jee umeelezwa kuwa likitokea la kutokea mshindi wa pili ndio anakuwa mgombea wa CCM automatically?!.

Kumbe hujui the deal ilikuwa ni "the chosen one" asindikizwe na maboya mawili!, mwanzo the plan ilikuwa asindikizwe na Pinda na Bilal, "Wazee wa CCM" wakashauri sio vema kuwadhihaki waheshimiwa hawa kwa kuwafanya ndio escort!, ndipo ikaamuliwa escort wawe weak candidates mind well jina la Magufuli halikuwa chaguo la JK!, bali ilibidi tuu liingizwe kwa sababu fulani, kaisome HAPA !, na kuimalizia HAPA!.

Ni kufuatia sababu hiyo!, nothing can happen to Magufuli!, hakuna lolote la kutokea kwa Magufuli hata kama that is what you wish for!. Pole!.

Magufuli ndie rais wa 5 wa Tanzania!.

Pasco
 
wakati mwingine CCM wawe makini na 'tatu bora' zao lisije wakuta balaa wakabaki kulaumiana tu!
 
Je CCM wanajua kwamba lolote linaweza kutokea kabla ya uchaguzi mkuu tarehe 25/10/2015?
Mwenyezi Mungu aepushie mbali, ila ikitokea mathalani mgombea urais wao akapatwa na janga kama ajali, maradhi au kufariki dunia kabla au wakati wa kampeni basi atakayechukua nafasi yake si mwingine bali aliyekuwa mshindi wa pili katika tatu bora, balozi Amina!
Tufikiri nje ya box, je CCM itashinda uchaguzi ikiwa imebanwa kwenye kona katika hali kama hiyo? Bila kusahau Tume ya Taifa ya Uchaguzi nayo italazimika kuahirisha uchaguzi mkuu hadi mapema mwakani!

Mungu atupe uzima, na atuepushie mbali balaa zote kwa wagombea wa urais kutoka vyama vyote hasa CCM, wote tuseme Aminaaaaa!!!!!

Kukata unapojiaminisha huna mpinzani inauma sana......
 
Hata watabili walikwisha tabili kuwa mgombea urais wa chama chochote atapoteza maisha kabla ya uchaguzi .hapo sasa!
 
heshima kwako mkuu Pasco nani ajuaye kesho yake hapa duniani? je ni nani aliyejua ndugu yetu Banza angeaga dunia jana? yote kwa yote namba moja akitoweka mbadala wake ni namba mbili, though I stand to be corrected!
 
Last edited by a moderator:
Kwa kifo hata huyo namba 2 anaweza akaanza... habari ya kifo achana nayo..
 
Je CCM wanajua kwamba lolote linaweza kutokea kabla ya uchaguzi mkuu tarehe 25/10/2015?
Mwenyezi Mungu aepushie mbali, ila ikitokea mathalani mgombea urais wao akapatwa na janga kama ajali, maradhi au kufariki dunia kabla au wakati wa kampeni basi atakayechukua nafasi yake si mwingine bali aliyekuwa mshindi wa pili katika tatu bora, balozi Amina!
Tufikiri nje ya box, je CCM itashinda uchaguzi ikiwa imebanwa kwenye kona katika hali kama hiyo? Bila kusahau Tume ya Taifa ya Uchaguzi nayo italazimika kuahirisha uchaguzi mkuu hadi mapema mwakani!

Mungu atupe uzima, na atuepushie mbali balaa zote kwa wagombea wa urais kutoka vyama vyote hasa CCM, wote tuseme Aminaaaaa!!!!!

Rais WA 5 ,ni yule atakaeapishwa!

Njia za Mungu hazichunguziki,usisahau hilo Pasco wa jf!!!
 
Ni boya peke yake anayeweza kuendelea kukuamini Pasco.Mzee wa mamvi ulimwaminisha kuwa hakuna kama yeye kwenye urais,akajikuta anatoboka salio lote la Richmond kwa wajumbe.Naona siku hizi hakupi bahasha za kaki ndo maana umemuacha afe kivyake!! Hufai kabisa.
 
Je CCM wanajua kwamba lolote linaweza kutokea kabla ya uchaguzi mkuu tarehe 25/10/2015?
Mwenyezi Mungu aepushie mbali, ila ikitokea mathalani mgombea urais wao akapatwa na janga kama ajali, maradhi au kufariki dunia kabla au wakati wa kampeni basi atakayechukua nafasi yake si mwingine bali aliyekuwa mshindi wa pili katika tatu bora, balozi Amina!
Tufikiri nje ya box, je CCM itashinda uchaguzi ikiwa imebanwa kwenye kona katika hali kama hiyo? Bila kusahau Tume ya Taifa ya Uchaguzi nayo italazimika kuahirisha uchaguzi mkuu hadi mapema mwakani!

Mungu atupe uzima, na atuepushie mbali balaa zote kwa wagombea wa urais kutoka vyama vyote hasa CCM, wote tuseme Aminaaaaa!!!!!

una pepo wewe si bure
 
WATU WENGINE KWELI TEMPORAL INSANITY.HOW CAN YOU BUILD YOUR COUNTRY WITH SUCH STUPIDITY IDEA?NOTHING WILL HAPPEN TO HIM NOR TO ANY CANDIDATE IN ONE our country.God forbidden.
 
mungu afanye yale ya faida kwa wanaobaki hasa huko ssmu Mungu afanye kazi yake na asikilize dua zetu
 
Back
Top Bottom