Lolote linaweza kutokea kabla ya 25/10/2015

Lolote linaweza kutokea kabla ya 25/10/2015


Mkuu Deo, nenda kasome HAPA !, The chosen one was Bernard Membe, na fall out was January Makamba, but piga ua galagaza, it had to be JPM!.

Pasco


Asante sana, nimeelewa.
Nakuomba uni saidie link ya hizi sababu
Kilichonistua, kunihuzunisha, kunisikitisha na kunisononesha, ni the reasons behind alizonitajia ambazo ndizo zimepelekea CCM kuamua why ni lazima awe Magufuli tuu, and no one else!.

 
Back
Top Bottom