Loliondo, OBC, Dowans: The disturbing connection and secrets

Whaat !!!!

That was then..., now where are we at ?
 
Thanks
 
Connect them if you can: Loliondo Gate => Yaeda Chini => Dowans and CCM!

What is the connection? There is a connection, a troubling one that is.
Inabidi nitafute muda mzuri nisome taarifa hizi kwenye mada hii kwa utulivu mkubwa.

Inaonekana yanayotokea sasa ni mwendelezo wa yaleyale ya miaka ileeee!
 
Haya mambo yana historia ndefu sana.
Ni vizuri kuielewa historia hiyo vyema, ili tusiwe tunalalama tu bila kuelewa kinachotokea.

Kwa mfano, pamoja na kwamba sijasoma yaliyoelezwa humu vizuri, lakini naanza kuunganisha stori ya yule waziri aliyesitisha usafirishaji wa wanyama hivi juzijuzi, halafu wakati huo huo, hilo la Ngorongoro na wamasai nalo linakuwa jambo. Kulikoni?
 
Kama ilvyokuwa huko duniani vita baridi vilivyoigawanya dunia kati ya wanaopenda upande wa mashariki (USSR) na magharibi(USA).

Na Tanzania napo kuna vita baridi imegawanyika ktk bara na pwani.

Wengi wanampinga mama kwanza wametokea mikoa iliyo mbali na bahari ya Hindi (bara) wanaomuunga mkono ni wale wanaotokea mikoa ya pwani iliyo karibu au iliyopakana na bahari ya Hindi.

Tofauti na awamu ya tano ambapo iliungwa mkono zaidi za kanda ya ziwa dhidi kanda nyingine.

Ndani ya Tz inapotokea Raid katokea mikoa ya pwani wa bara huungana bila kijali vyama vyao.

Kimsingi suala la loliondo tatizo limekuwa ni Mwarabu. Lkn kuna makampuni kadhaa yanahidhi vitalu vya uwindaji. Wao si tatizo. Tatizo limekuwa ni Mwarabu.

Hebu sasa tujielekeze kwenye chanzo.

Migogoro mingi inayopelekea ukatili na maafa chanzo kikuu ni mgawanyo wa nafasi nyeti Serikalini kushikiliwa na tabaka moja ya tu la jamii tokea Uhuru.

Si ktk utumishi wa serikali tu hata ktk majeshi na vikosi vya polisi ambapo waliochaguliwa kujiunga hawakuangalia elimu kwa wakati Bali walichaguliwa kutoka ktk Tabaka moja tu. Hali hii iliendelea na kila zilupotangazwa nafasi za jeshi na idara za usalama walichuguliwa wengi walikuwa ni watoto au jamaa wa askari. Kwa mfano wilayani kwangu zilitangazwa nafasi za polisi 50. Vijana waliojitokeza kuomba nafasi hizo wa wilaya husika walikuwa wengi tu lkn ni wenyeji wa nne pekee 4 ndio walioteuliwa kujiunga wengine wote wakitokea mikoani ya mbali.

Kwa ujumla mafunzo ya idara ya polisi au jeshi si kufanya ukatili kwa raia wake. Bali ukatili unaofanywa na vikosi hivyo unatokana na asili ya tabaka hodhi lenyewe ambalo ni zaidi ya asilimia zaidi ya 90% wamo ktk majeshi na vikosi vyetu.

Hata vurugu zilizotokea znz na mtwara hazikutokana na askari waliotokea ktk maeneo hayo. Bali ni kwa kuwa jeshi lina askari wengi ambao kwa asili sawa tabaka lenyewe ni watu makatili, wanaohusika ktk matukio ya uovu zaidi ukilinganisha na matabaka mengine yaliyotengwa ktk nafasi hizi nyeti.

Sasa mbaya zaidi atokee Rais wa nchi kutoka ktk tabaka hilo. Taifa huishia kuushi kwa wasiwasi, mateso, unyanyasaji na matendo yote ambayo si ya kibinadamu.

Hivyo kama shida ni ukatili unaofanyika ktk operation yyt hata kama rais anahusika kwa kutoka maelekezo shida kuu ni watendaji (wasaidizi) kwa kuwa ni tabaka katili kwa asili na ndio tabaka ilohodhi kila nafasi nyeti kwa asilimia 90%.

Lakini kama tatizo ni mwarabu basi hii ni vita baridi ambayo hutokea kila anaposhika madaraka RAIA wa pwani ambao kwa asili ni tabaka la jamii linaloweza kuishi na watu mbalimbali bila kujali kabila, dini, rangi nk
Ni mtu asiopenda kujikweza, na ustaarabu wao umepatikana kutokana na mchanganyiko wa waarabu wa wenyeji wa pwani. Ni wapole kwa asili, wenyewe busara na madaraka kwao si fursa ya kukusanya Mali Bali ni kwa mujibu wa utamaduni wao ni (dhima) kwa kwa maana wanatafuta madaraka kwa kuwa wanaona mapungufu ambayo wangeweza kuyatatua na kwamba wakiende kinyume chake wanaamini watawajibika kwa muumba Mwenyezimungu.

Hivyo basi kwa kuwa vyama vilivyopo vimeungana kumshambulia mtu wa pwani, watu wa pwani wataungana kumtetea.

Kimyume chake tunapaswa kujua jukumu letu na kuleta ushauri bila kusukumwa na utabaka litakaloondoa makosa haya yaliyofanywa tokea kupatikana Uhuru wa nchi hii ambapo Tabaka la watu katili limehodhi nafasi hizi nyeti zinapolelea kuchafua taswira ya taifa zima.

niwakumbushe wanaohodhi vitalu ni wenyi sio mwarabu pekee
 
Zamani JF kulikua na real discussions. Machawa wameharibu sana ukweli wamekua watu wa propaganda. Nmeusoma huu uzi sijapata connection, mwenyenayo atusaidie
 
Miaka sio mingi amani itapotea hapa Tanzania, na watakao poteza amani ni viongozi wasio na uwezo wa kuwa viongozi ambayo ni wengi sana.
 
maneno yanaishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…