Lol

Mulhat Mpunga

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
27,263
16,288
BORA NIFE.jpg ujumbe umenifurahisha huu
 
una nokia ya tochi sio ngoja nijaribu mkuu
Dortworld, upo wapi?
Hebu fanya mambo kuza hii picha!
Mi nasoma hapo CCM... yaani nilkiona kifupi cha hivi huwa nina:A S-frusty::A S-frusty::redfaces::redfaces::redfaces::whoo::frusty:
 
Inakuwaje kama watu tunakuwa na tumaini hivi, halafu, tunaambiwa hao hao ni wala rushwa wakubwa????? Napoteza matumaini!!!
 
yaani inaumiza moyo na kichwa kumbe wao wapo pale kutuzuga kuwa wanagonga mzigo kumbebwebwe tu aghrrrrr lao moja
Inakuwaje kama watu tunakuwa na tumaini hivi, halafu, tunaambiwa hao hao ni wala rushwa wakubwa????? Napoteza matumaini!!!
 
Dortworld, upo wapi?
Hebu fanya mambo kuza hii picha!
Mi nasoma hapo CCM... yaani nilkiona kifupi cha hivi huwa nina:A S-frusty::A S-frusty::redfaces::redfaces::redfaces::whoo::frusty:

==

Jinsi ya kukuza image - Picha ndani ya JF

Wilbert1974 . flora msoffe .


Mkuu
Wilbert1974 unajua tatizo hizo picha huwa zipo kama attachment = hivyo huwa ni ndogo. Ila kama uki-move mouse kwenye picha ukaona ina-maximise na kuwa kubwa fuata haya maelekezo ..


Kwa Crome web browser fanya hivi ---
(ingawa the same can be done kwenye browsers nyingine)

Point mouse kwenye picha hiyo ndogo .... subiri iload ili iwe picha kubwa - ikisha-load na kuwa kubwa - RIGHT CLICK hiyo picha kubwa alafu chagua "COPY IMAGE URL"
Ukisha-copy hiyo image URL ya picha kubwa iliyoload fungua sehemu ya ku-post mfano: "Reply to Topic" ... yaani kama unapost normal katika JF

Chagua ICON inayoitwa INSERT IMAGE

Ikifunguka pop-up window chagua "FROM URL"

Untick "Retrieve remote file and reference locally" ==
yaani ondoa tick hapoBonyeza OK - then post

Utakuwa tayari umeshamaliza.


Jaribu ukikwama niulize tena ntakufafanulia.
 
Back
Top Bottom