LOL! hahahahahahahaha

LOL! hahahahahahahaha

haha ha ha!!! kuna mmoja alikuta demu kashasepa lol
 
Wakenya kwa komedi ni noma aisee! Hiki kipiece kiko kwenye series gani mleta thread?
Yaani jamaa anapoteza muda kununua vitu viiiingi kumbe ni gia tu demu aondoke ili anunue kondom! Inachekesha kwa kweli.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mie hata sijui ila ngoja nitafute nitarudi, halafu pamoja na kutaka ndom hela yenyewe iko nusu lol! na mrembo ndiyo anamsubiri wakajirushe.

Wakenya kwa komedi ni noma aisee! Hiki kipiece kiko kwenye series gani mleta thread?
Yaani jamaa anapoteza muda kununua vitu viiiingi kumbe ni gia tu demu aondoke ili anunue kondom! Inachekesha kwa kweli.
 
...manina hapo uumeshajua leo unagegeda halafu unakuta mrembo kasepa lol!

haha ha ha!!! kuna mmoja alikuta demu kashasepa lol
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom