Loh! Mwanaume unataka nanii kila siku

Kwa kweli baadhi ya wanawake mmetushinda tabia mwanaume afanye mapenzi kwa ratiba utakuta mwatusema eti huenda anachepuka au halijui mapenzi na akifuata jinsi mwili unatakavyo mpeleka hauchelewi kusema kuwa amezidi. Furaha ya ndoa ni mapenzi pamoja na kupata watoto hiyo ndiyo maana ya kuoa au kuolewa.
 
Watu wengine msiwe mnachangia nyuzi kama mnakaanga vitunguu jikoni.
Asikubali kuolewa afanye nn basi au awe na nafuu gani ya kutokuingiliwa?
Mungu maagano take na mwanadam afikiapo muda awe na MTU wake kwa ajili ya zinaa na wazae wewe unaleta yako.
Acha upotoshaji au kama hujui Nyamaza!
Samahani mkuu sijaelewa hata kwa uchache ulichoandika naomba nifafanulie nikuelewe tafadhali
 
Sister mi nafikiri ufurahi, ni ishara kwamba jamaa yako hachepuki, kuna wenzako wanalilia hicho unachochukia wewe, jamaa anapiga kwa mgao, mara moja kwa miezi miwili. Big up jamaa yako anaonesha anakupenda cause kila akipata hamu anakufikiria wewe na hachepuki, fanya mazoezi na ule vizuri uongeze nguvu usiwe mchovu.
 
Hi wanajukwaa la mapenzi!

Kila siku mwanaume anataka mchezo nimemvumilia lakini nahisi kuchoka sasa.Akitoka kazini tu hata kuoga anaona anachelewa babe njoo huku nikifika tayari kaliamsha lisokolokwinyo.

Asubuhi hata jogoo hajalia tayari napapaswa na huwa hangojei nikae mkao mzuri kashalichomeka kunako chumvi mautelezi ya kutosha muda huo huo.Wikiendi ndo usiseme Mara mbili au tatu Kwa siku.

Saa nyingine hata akinikuta nasukwa au nimekaa na watoto utamsikia akiwafokea watoto "ondokeni hapa! kachezeni huko".Kinacho fuata naitwa ndani nampa.Sasa nahisi kuchoka jamani huku naogopa asije pata kisingizio cha kuchepuka.

Naombeni ushauri jamani imekuwa too much huyu mume wangu hachoki.
MPE tu usichoke ndo wako huyo. Sasa aende wapi? Au mruhsu aongeze mke
 
Ndivyo inavyotakiwa.

Ni Haki yake.

Sasa nini maana ya MKE!

Mwache aendelee hivyo hivyo
 
Ukikosa maarifa lazima utaumia
Just Fanya kusema nae taratibu atapunguza but usije kushangaa Ana nyumba ndogo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom