Loh! Majanga ni mengi huku tunakoelekea kuufunga mwaka 2013 tazama picha hiyo kwa umakini.

Aisee!
Huyo mtu anatoa maelezo gani mkuu paul milya?
Anasema yuko on transit kuelekea wapi?


Mkuu nilimkuta anatetemeka tu kwa baridi na msamaria mmoja akatoa tshirt yake kwenye gari lake aina ya corolla kama sijakosea akampatia lakini katu katu akogoma kuvaa ila maneno yake ya mwisho kuongea pale ni kwmb ametokea Mkoani Manyara mjini Babati na alikuwa aende pale kijiji cha Siwandeti cjui alisema kwa nani vile na akawa amefika pale na wacha Mungu wakamshusha.
 
Last edited by a moderator:
Ndivyo nilivyomkuta huyo Ndugu leo asubuhi na mapema mtaa wa Sakina huku Arusha mjini post na Sakina Bar kwa juu kidogo tu akidaiwa kuangushwa angani na Wanamaombi wanaokesha kumlilia Mwenyenzi MUNGU usiku katika Kanisa moja mtaa huo.

Kapendeza sana na vazi lake la Adam na Eva
 
Adi uku mnafika? Zitaanza vurugu za siasa mda c mrefu ndani ya sredi... Izi moja moja tuachieni tupumue
...mkuu wala sio saisa bali ni life style yake inaelezea wasifu wake...
 
Kapendeza sana na vazi lake la Adam na Eva


Mkuu nakwambia cjui hawa jamaa wanalipwaje kwani Mi naona kazi yao iko katika wakati mgumu sana.
Nilipomkuta amechapika na baridi yote ya alifajiri wee acha tu!

Ndiyo mshahara wake!
 
Ndivyo nilivyomkuta huyo Ndugu leo asubuhi na mapema mtaa wa Sakina huku Arusha mjini post na Sakina Bar kwa juu kidogo tu akidaiwa kuangushwa angani na Wanamaombi wanaokesha kumlilia Mwenyenzi MUNGU usiku katika Kanisa moja mtaa huo.


Mmmmmmh! Hivi jamani walimwengu hawaelimiki mpaka leo? Eti mtu anaacha usingizi usiku kucha anakwenda kuwasumbua watu waliopumzika baada ya kazi nzito ya kujenga Taifa.
 

Attachments

  • Jesus_006.jpg
    Jesus_006.jpg
    20.6 KB · Views: 117
watu wanashangaza kweli. wanaamini kwenye kulogana na uchawi, lakini hawaamini kwenye dawa yake!
 
Kwa mbaali namfananisha na Babu wa Loliondo aka 'Ambilikile Mwasapila'
 
kwani wakipaa wamevaa nguo hawafiki


Mi sijui bhana! Hapa alikuwa analazimishwa nguo na hataki kabisa!
Na ukiangalia kuna hiace imepata leo asubuhi break down pale pale ila haijaumiza abiria kwa kweli.

Kazi ipo kweli kweli. Na ni majaliwa yake MUNGU kuiona mwaka.
 

Attachments

  • Photo0816.jpg
    Photo0816.jpg
    44.1 KB · Views: 75
  • Photo0810.jpg
    Photo0810.jpg
    48.1 KB · Views: 76
  • Photo0812.jpg
    Photo0812.jpg
    48 KB · Views: 79
  • Photo0809.jpg
    Photo0809.jpg
    40.7 KB · Views: 79

Similar Discussions

Back
Top Bottom