Logic iko wapi au uonevu tu?

NTEGEYE Jr

JF-Expert Member
Nov 12, 2016
322
286
Najaribu kuwaza, hivi bodi ya mikopo kuanza makapo ya 15% kutoka 8% imeamua au imeshinikizwa na serikali?

Kama imeamua au kushinikizwa, ilifikiri na iliona kuna Logic gani kuanz na makato hayo kwa mshahara ule ule? Kwanini wasisubiri serikali kupandisha mishahara na kuanza kufanya kazi ile punguzo la pay as you Earn kutoka 11% mpaka 9% kama Mkulu alivyotangaza katika may mosi ya 2016?

Binafsi naona huu ni uonevu maana hata ongezeko la makato haya hayakushirikisha wadau. Wameamua tu.

Kwa sasa kufanya kazi serikalini ni Uvumilivu tu
 
Unabii unatimia, "aliye nacho anaongezewa na asiye nacho hata hicho kidogo...". Sasa vyanzo vyote karibia vimeguswa na bajeti inapelea, hakuna namna inabidi mama sungura awanyonye wanae! Pia usisahau kuishi kishetani kuna maana pana.
 
Back
Top Bottom