Lodges/Guest Houses Dar zafurika

and 998 others

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
28,417
Reaction score
40,115
Pamoja na janga, Lodges/Guest Houses 🏠 zinafurika Sana. Imagine jana nimezunguka gesti zaidi ya 9 Sinza kisha Tiptop zipo full.

Stress release mechanism?
 

Attachments

  • images (17).jpeg
    26.8 KB · Views: 12
HAhaha wabongo bwana
Mtumish /mhubirin Paulo Bashite jana kasema watu wabaya walinunu majeneza wakaenda kuchimba makaburi.
hahahhahaha yaani nitoe pesa ninunue geneza, nipige nalo picha alafu nikachimbe kaburi ?? hakuna mtu mjinga kiasi hicho. hata mirembe kichaa wa hivyo hayupo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…