Mkuuu asante sana....unaeza nitajia majinaNenda macho karibu na fnb kuna lodge tele
Asante mkuu ila pale pako wazi ....nataka kulikojifichaNenda nyuma ya shoppers plaza kuna MRC lodge moja ya heshima
Okay mkuu asanteeNenda opp tanesco uswahili kuna gesti moja ya kiswahili ina baa njee
Okay sawa fresh mkuuu.....MRC ukipita kwa mbele huko huwezi onekana kuna ofisi ofisi. Nakama siku ya kazi hakuna watu mule bar
poa mkuu shughuli njemaYah kuna demu huwa yupo pale teller kwy benk moja mitaa ya karibia na msasani sasa ameniambia muda mzuri wa kwake ni mchana akienda kula
Hapana mkuu....mtoto mwenyewe yupo benki..khy muda mchache tuuIla usitumie Viagra mkuu maana utafia kifuani
Pamojapoa mkuu shughuli njema
Mayfair Hapo pia kuja hotel Nzuri tu, achana kwenda kulala msasani uswahilini jikunje ulipie Hapo Mayfair HotelHabarini wadau...naulizia kama kuna mtu anayefahamu lodge yoyote maeneo ya msasani au maeneo karibu na mayfairplaza.
Pale gharama mkuuMayfair Hapo pia kuja hotel Nzuri tu, achana kwenda kulala msasani uswahilini jikunje ulipie Hapo Mayfair Hotel
Usisahau kutumia kinga mkuu! Kila la heri!Pale gharama mkuu