Lodge kali Songea Mjini

Lakini kuna vitu una miss kutoka Dar amvavyo Mikoani hakuna kwa mfano sehemu za kutembea tembea maana mikoani sehemu za kutembea ni umbali mchache yani mnakua kama mmefungiwa kwe uzio fulani.
 
Natafuta sehemu ya kwenda kutembea december hii ila naona kama Songea ni mbali sana.

Usafiri kutoka Dar hadi huko ukoje? Gharama za malazi na chakula je?
 
Mie sio mtembeaji sasa, ko trips sio vitu vyangu kabisaa.
 
Natafuta sehemu ya kwenda kutembea december hii ila naona kama Songea ni mbali sana.

Usafiri kutoka Dar hadi huko ukoje? Gharama za malazi na chakula je?
Dar hadi songea, via Iringa ni 75, via Lindi ni 85.

Malazi na chakula bei ni affordable kabisaa.
Karibu sana Songea.
 
Ww wa songea nn πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Dar hadi songea, via Iringa ni 75, via Lindi ni 85.

Malazi na chakula bei ni affordable kabisaa.
Karibu sana Songea.
Bar za kula michemsho, nyama choma, kuangalia mpira zipo?
 
Zipo za michemsho, ila ni Kitchen na Restaurant,
Nyama Choma zipo sehemu zake tena kwa ustadi na ladha nzuri.
Sports Lounge Zipo za kutoshaa.

Karibu sana Songea.
 
Dar hadi songea, via Iringa ni 75, via Lindi ni 85.

Malazi na chakula bei ni affordable kabisaa.
Karibu sana Songea.
Bar za kula michemsho, nyama choma
Zipo za michemsho, ila ni Kitchen na Restaurant,
Nyama Choma zipo sehemu zake tena kwa ustadi na ladha nzuri.
Sports Lounge Zipo za kutoshaa.

Karibu sana Songea.
Asante sana mkuu, ngoja nione likizo ipi itanifanya nifike huko.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…