Siamini nachokisomamama angu pindi nabukua , rafiki zangu wengi wa mikoanai waliyokuwa wanakuja dar kibiashara ama kishughuli nyingine nilikuwa nawatafutia apo ndo source ya kuijua, hakuna kingine
Sijawahi tenda dhambi apo naapia Mimi mama aki tena zaidi ya kuwapeleka wageni wa mikoan tuSiamini nachokisoma
SawaSijawahi tenda dhambi apo naapia Mimi mama aki tena zaidi ya kuwapeleka wageni wa mikoan tu
Unawaharibia biasharaIpo mojaa maeneo hayo ina Kungunii oohoo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Tanzania nzima hakuna. Hata danguro siyo kwa bei hiyo.hakuna za 3000?
Ntafutie nyumba ya kupanga mama apo mjiniSawa
3000 labda ulale juu ya mti uliopo guest house.hakuna za 3000?
Niko porini saiviNtafutie nyumba ya kupanga mama apo mjini
Kweli kabisa kama unaenda masaki hivi pale mwanzoni kwenye konaa ya pilii...!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unawaharibia biashara
Hapo ubungo maziwa, kutoka ubungo stendi ya mabasi Hadi hapo kwa bodaboda Ni elf moja to ya kitanzania,lodge yenyewe inaitwa LONDON ,pia na bar ipo humohumo, Bei ni 20 kwa 15Wakuu hivi hapa ubungo kuna lodge au hoteli gani bei nafuu kulala lakini yenye quality..then bei gani usiku mmoja?
aise, natamani nikuje kukutembelea nione na fursa mimiNiko porini saivi
Mbeya zipo nyingi mpaka kesho mkuu, sema uwe tiyari kupambana na wale jamaa wakwenye mashukaTanzania nzima hakuna. Hata danguro siyo kwa bei hiyo.
Mkuu mwenzako anataka ya bei rahisi yenye uafadhari. 40 ama 45 nauli ya kufika anapoenda iyo ujueNenda Landmark Hotel room ni elfu 45 ila 40 wanakupa. Room safi na mazingira safi.
Wanakuja wazinziWakuu hivi hapa ubungo kuna lodge au hoteli gani bei nafuu kulala lakini yenye quality..then bei gani usiku mmoja?
Njoo basi hebu, mechoka kupaliliaaise, natamani nikuje kukutembelea nione na fursa mimi
Pote ulishaga lalamo?Kagame hotel hapo anzia 30,000/- kwenda juu pako vizuri....kibadamo hotel anzia 25,000/- kwenda juu.
haha basi malizia palizia mama, mahindi yasije shindwa otaNjoo basi hebu, mechoka kupalilia
Sawa babaahaha basi malizia palizia mama, mahindi yasije shindwa ota