sio muhenga mm acha kunizeesha buradha au unataka kunipeperushia ndege wangu nnae mvizia??
Duh mbona week ya pili sasa. Unajua leo?Kufuatia agizo la Tcra na waziri hatimaye channels za bure zimeanza kuonekana bure
King'amuzi changu cha startimes local channels zimeanza kuonekana bure ambazo ni Itv, startv, tbc,channel ten,tve, na tv1
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji445] [emoji444] We bishoo tu[emoji443] [emoji441]sio muhenga mm acha kunizeesha buradha au unataka kunipeperushia ndege wangu nnae mvizia??
hahahahah tena bishoo haswaaaa
Na Sisi tunaotumia Dstv? ZitaonekanaKufuatia agizo la Tcra na waziri hatimaye channels za bure zimeanza kuonekana bure
King'amuzi changu cha startimes local channels zimeanza kuonekana bure ambazo ni Itv, startv, tbc,channel ten,tve, na tv1
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unarudishaje tarehe nyuma wakati ilishatangazwa zitaanza kuoneshwa trh05/9?Kufuatia agizo la Tcra na waziri hatimaye channels za bure zimeanza kuonekana bure
King'amuzi changu cha startimes local channels zimeanza kuonekana bure ambazo ni Itv, startv, tbc,channel ten,tve, na tv1
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mi bado kifurushi kiliisha jana nikamute lakini hamna. Nimelipia tu saa moja jioni ili nione taarifa ya habari.Kufuatia agizo la Tcra na waziri hatimaye channels za bure zimeanza kuonekana bure
King'amuzi changu cha startimes local channels zimeanza kuonekana bure ambazo ni Itv, startv, tbc,channel ten,tve, na tv1
Sent using Jamii Forums mobile app
We kuwa na mahela tu hata ukiwa na 50 ukafata ki ben 20 utaonekana una 25 tu kwa mihela ratio ya mahusiano lwa wenye nazo na mabint age wise ni 3:1 yaani ukiwa na 60 unachukua mjukuu wako wa 20yrs as long as mpunga unao na uwezo wa kugegeda japo kamoja kwa wiki bila viagra unao kinyume cha hapo tulia tu na mzee mwenzako mpunga wako fanya matembezi dunianisio muhenga mm acha kunizeesha buradha au unataka kunipeperushia ndege wangu nnae mvizia??
Watu tunaongea mambo ya maana unatupa habari za star times. Hao siniwalewale. Kwenye DStv badoKufuatia agizo la Tcra na waziri hatimaye channels za bure zimeanza kuonekana bure
King'amuzi changu cha startimes local channels zimeanza kuonekana bure ambazo ni Itv, startv, tbc,channel ten,tve, na tv1
Sent using Jamii Forums mobile app
Subria kwanza malipo yako yaishe ndio uweze kujua kuwa ni bure..Kufuatia agizo la Tcra na waziri hatimaye channels za bure zimeanza kuonekana bure
King'amuzi changu cha startimes local channels zimeanza kuonekana bure ambazo ni Itv, startv, tbc,channel ten,tve, na tv1
Sent using Jamii Forums mobile app