Loans board

combra

Senior Member
May 28, 2012
130
31
Ni kweli board ya mikopo haitatoa mkopo kwa wale wa equivalent,law na wale wabiashara?naomba mwenye taarifa anijuze.
 
kwahiyo watanzania tunabaguana wenyewe kwa wenyewe.serikali ya sisiem inanishangaza.posha za kuwalipa wabunge wanazo na wanapewe free, lkn mkopo kwa mtoto wamaskini hawana.hii haitungii akili
 
King sisi hatuwezi kumsikiliza zito kwani yeye ni mpinzani wa serekali hivyo tutaona anpinzana ila ushahidi halisi utajulikana katika bajeti kuu ya serekali kwa kipindi kijacho cha fedha.
 
kweli king hata mi nimesoma kwenye kile kipengele kumbe wameandika "may not" yani sio kwamba hatatoa mkopo ila inawezeka.wangesema "not" kweli.ila tuangalie mkao wa baget wanaweza sikia kilio chetu
 
kweli king hata mi nimesoma kwenye kile kipengele kumbe wameandika "may not" yani sio kwamba hatatoa mkopo ila inawezeka.wangesema "not" kweli.ila tuangalie mkao wa baget wanaweza sikia kilio chetu

walisema huko kuna ،non priority، so uwezekano wa kupata mkopo ni nxt 2 non. Duh ila hapo juu umeweka point kubwa sana,unajua m2 akisikia matatizo ya tanzania ya elim,umeme,maradhi,vyakula nk afu akaangalia mahela yanayotolewa kwa wabunge ataona haya maji2 yanayoishi humo yote ni matahira.
 
Sera ya Kilimo Kwanza inaanza kuhusika!Sasa hivi mtu utalima mpaka upate hela ya kujisomesha!Hakuna ujamaa siku hizi,ni KUJITEGEMEA tu!
 
Mjomba wasikutie bp,tuliza kitenesi nikudadavulie mambo.Kwa mwaka 2012/2013 according heslb the priority should be given to those who are taking education in science and mathematics,enginering,doctories,nursing and other relating coz but all coz are eligible to loan(coz zote zinaweza kupata mkopo) .Jaza form yako hatua hadi hatua mkopo unao.
 
asante kwa ushauri wako.tumeane moyo wenyewe kwa wenyewe.mafisadi hawana huruma kwa mtoto wa maskini. Siwanajua ukisoma utajua haki zako nawatashindwa kuwaibia!
 
kweli king hata mi nimesoma kwenye kile kipengele kumbe wameandika "may not" yani sio kwamba hatatoa mkopo ila inawezeka.wangesema "not" kweli.ila tuangalie mkao wa baget wanaweza sikia kilio chetu

Kweli kabisa,hapa ni kwamba kwenye ranking zao hawa watakuwa wa mwisho kufikiriwa na hii itatokana na maombi ya wale waliopewa upendeleo maalum.
 
Kweli kabisa,hapa ni kwamba kwenye ranking zao hawa watakuwa wa mwisho kufikiriwa na hii itatokana na maombi ya wale waliopewa upendeleo maalum.

unakua kama hauishi bongo bana,hizo ni lugha za kisiasa 2,wa arts watakaopata ni wale wenye marefa 2 wengine ni ndoto. Aise hii nchi
 
kwa course ambazo ni "non priorty" ni kwamba kunaweza kuwa uwezekano wa kupata , ila kama ahakuna uwezekano kabisa wangesema "no loan at all"
 
Back
Top Bottom