Loan Officer Access Bank

Loan Officer Access Bank

mtengwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2011
Posts
1,603
Reaction score
871
Habari zenu wadau. Samahani, kama kuna mtu yoyote mwenye taarifa ya kuitwa Access Bank baada ya group na oral interview ya jumatatu tar 3/02. Me nilifanya ila nimeona kimya, sasa sijajua kama ndo unsuccessful au niendelee kusubiri.
 
naona sijapata jibu mpaka sasa

are u serious na kupata kazia aua unataka unafanyiwa interview baada ya wiki ya siku 3 uanze kazi? be serious, mchakato wa kazi ni mrefu na unachukua si kipindi kisichopungua mwezi mmoja, narudia inachukua kipindi kisichopungua mwezi mmoja,,,tatizo watz tunataka vitu harakaharaka,,,na nyie. ndo mkiajiliwa mnataka leo uneingia kazin baada ya wiki unataka ueneshe gari bila kufikilia kila kitu kizuri kinatakiwa maandalizi ya muda mrefu,,
 
ndugu yangu hiyo laki 2 na 40 unaoiona ndogo, mwenzako naihitaji sana. Ni bora hiyo kuliko kuendelea kusota mtaani

mwanzo wa kufanya kazi ndio maendeleo ya michongo mingine ya kupata kazi nzuri mpendwa wangu, usikatishwe tamaa.
 
are u serious na kupata kazia aua unataka unafanyiwa interview baada ya wiki ya siku 3 uanze kazi? be serious, mchakato wa kazi ni mrefu na unachukua si kipindi kisichopungua mwezi mmoja, narudia inachukua kipindi kisichopungua mwezi mmoja,,,tatizo watz tunataka vitu harakaharaka,,,na nyie. ndo mkiajiliwa mnataka leo uneingia kazin baada ya wiki unataka ueneshe gari bila kufikilia kila kitu kizuri kinatakiwa maandalizi ya muda mrefu,,

punguza ujuaji usio na maana.
 
ndugu yangu, unajua kila shirika/taasisi lina utaratibu wake, siku tuliyofanya interview walituambia kama umekua successful watakupa taarifa soon, ila ukiona kimya consider your self unsuccessful. Ndo maana nimekuja kuuliza kama kuna watu wamejulishwa kama wamefaulu
 
mwanzo wa kufanya kazi ndio maendeleo ya michongo mingine ya kupata kazi nzuri mpendwa wangu, usikatishwe tamaa.

asante ndugu kwa kunitia moyo. Kipindi cha kutafuta kazi ni moja ya vipindi vigumu zaidi katika maisha.
 
punguza ujuaji usio na maana.

u will not appriciate what u have until u loose it,,unajua binadamu mnafikilia kazi za mashirika kama haya ni kuzoa watu haraka bila uchambuzi yakinifu,,ndo maana ya interview,unapofanyiwa interview leo cyo ndo umemaliza kila kitu,management lazima ijilidhishe na vitu vingi kabla hawajakuajili,tatizo watz mnapenda short cut,,if u want the shortcut job know that u will be fired shortcut,,,hizi ni kazi za mikataba inayojulikana na cyo kibarua, usitake kumdanganya mwenzako kwamba kuna ajira ya baada ya siku tatu ya usahilo unaajilowa,,think twice,,cha. msingi ww uliyefanya isahili kuwa na subila na kama ulifanya vizuri they will employ u but don't think shortcut
 
asante ndugu kwa kunitia moyo. Kipindi cha kutafuta kazi ni moja ya vipindi vigumu zaidi katika maisha.

na watz mkiambiwa ukweli hampendi ila mkidanganywa ndo mnafurahi,,kuna jamaa yangu nimemuuliza yuko pale access bank tawi la lumumba kasema wanatarajia kuwaita waliofaulu jumatatu ya tarehe 10
 
Nashukuru mdau...unajua kila step in life kuna kitu cha kujifunza. Uwelewa wangu mdogo kuhusu taratibu za kuajiri na muhemko wangu wakutaka vitu haraka haraka umenileta humu. Na uzuri huku kuna wadau wengi wenye uwezo na uzoefu zaidi ndo unakosolewa na kupata ushauri sahihi. Binafsi nakushukuru sana, umenifundisha kitu ambacho kimenijenga na kitanisaidia na mimi kusaidia wenzangu. ASANTE MDAU
 
u will not appriciate what u have until u loose it,,unajua binadamu mnafikilia kazi za mashirika kama haya ni kuzoa watu haraka bila uchambuzi yakinifu,,ndo maana ya interview,unapofanyiwa interview leo cyo ndo umemaliza kila kitu,management lazima ijilidhishe na vitu vingi kabla hawajakuajili,tatizo watz mnapenda short cut,,if u want the shortcut job know that u will be fired shortcut,,,hizi ni kazi za mikataba inayojulikana na cyo kibarua, usitake kumdanganya mwenzako kwamba kuna ajira ya baada ya siku tatu ya usahilo unaajilowa,,think twice,,cha. msingi ww uliyefanya isahili kuwa na subila na kama ulifanya vizuri they will employ u but don't think shortcut

tuliza kipago kijana, watu wanafanya interview siku hiyo hiyo na kuitwa siku hiyo hiyo, wacha story ndeeeefu hueleweki.
 
na watz mkiambiwa ukweli hampendi ila mkidanganywa ndo mnafurahi,,kuna jamaa yangu nimemuuliza yuko pale access bank tawi la lumumba kasema wanatarajia kuwaita waliofaulu jumatatu ya tarehe 10

huo ndio msaada, hayo mengine mezea fanta, kama wamefanya interview tar 3/2 na kwa mujibu wako wataitwa tarehe 10/2 huoni unajichanganya na hapo juu uliposema wataanza kuitwa baada ya mwezi? tunashukuru kwa kumsaidia.
 
eehh ci ndoo mnataka mkidanganywa kama hivyo ndo mnafurahi ila mkiambiwa ukweli macho yabawatoka kama mmeza CD
 
Kuna tulofanya leo,tumeambiwa mpaka saa kumi na moja hujapigiwa simu au hujatumiwa text consider yourself unsuccessful,,so ni siku hiyo hiyo
 
eehh ci ndoo mnataka mkidanganywa kama hivyo ndo mnafurahi ila mkiambiwa ukweli macho yabawatoka kama mmeza CD

kijana tuliza mshono, unajidanganya mwenyewe tu hapa mana umesema umeongea na mshikaji wako wa Acces ndio kakupa hiyo tar, sasa nani anamdanganya mwenzie hapa kama sio wewe kujidanganya mwenyewe?
 
Back
Top Bottom