Loan Officer Access Bank

Loan Officer Access Bank

u will not appriciate what u have until u loose it,,unajua binadamu mnafikilia kazi za mashirika kama haya ni kuzoa watu haraka bila uchambuzi yakinifu,,ndo maana ya interview,unapofanyiwa interview leo cyo ndo umemaliza kila kitu,management lazima ijilidhishe na vitu vingi kabla hawajakuajili,tatizo watz mnapenda short cut,,if u want the shortcut job know that u will be fired shortcut,,,hizi ni kazi za mikataba inayojulikana na cyo kibarua, usitake kumdanganya mwenzako kwamba kuna ajira ya baada ya siku tatu ya usahilo unaajilowa,,think twice,,cha. msingi ww uliyefanya isahili kuwa na subila na kama ulifanya vizuri they will employ u but don't think shortcut

Acha kuongea kwa confidence .. aliyekuambia kazi baada ya siku tatu hakuna ni nani .. Ww kama umechujwa Mara kumi kwnye interview usioone ni kwa kila mtu .. kuna watu wanafanyiwa interview leo kesho wanahitajika kazini tena kwa request .. vichwa havilingani ndugu yangu
USIKARIRI
 
Kuna tulofanya leo,tumeambiwa mpaka saa kumi na moja hujapigiwa simu au hujatumiwa text consider yourself unsuccessful,,so ni siku hiyo hiyo

Habari ndugu, vipi wewe wamekuita?
 
are u serious na kupata kazia aua unataka unafanyiwa interview baada ya wiki ya siku 3 uanze kazi? be serious, mchakato wa kazi ni mrefu na unachukua si kipindi kisichopungua mwezi mmoja, narudia inachukua kipindi kisichopungua mwezi mmoja,,,tatizo watz tunataka vitu harakaharaka,,,na nyie. ndo mkiajiliwa mnataka leo uneingia kazin baada ya wiki unataka ueneshe gari bila kufikilia kila kitu kizuri kinatakiwa maandalizi ya muda mrefu,,

Hee hadi kwenye ushauri kuna watu mnanyanyua nondo!
Sikiza inawezekana uko sawa lakini kwa access bank umechemka.
Kuna dogo alinipigia juz kati akiniomba nimuelekeze intrview zao(accss) zinavyofanywa nikampa a to z na leo kaniambia wamempigia wakamwambia amepita mchujo na j3 aende kwenye hatua nyingine(infomation nini siju!)
N.B: mimi mwenyewe kuna mwaka fulani niliwah kufanya intrview na hiyo bank and within 3 to4 days tukawa tumefanya intrvw tatu na kachukuliwa kujiunga branch ya temeke...niliripoti siku hiyo nikajifunza kazi zao siku hiyo na siku hiyo hiyo nikaacha kazi na hiyo bank....NDIO maana huyo dogo ananitafta nimelekeze namna intrvw zao zinavyofanyika coz nimepitia hapo.
MUHIMU..watu msipende kuzungumzia kitu ambacho hamkifaham coz unaweza kupotosha wengine.
END.
 
asante ndugu
 
Habari zenu wadau. Samahani, kama kuna mtu yoyote mwenye taarifa ya kuitwa Access Bank baada ya group na oral interview ya jumatatu tar 3/02. Me nilifanya ila nimeona kimya, sasa sijajua kama ndo unsuccessful au niendelee kusubiri.

Kuna watu tulifanya zile za marketers sijui nazo bado..au?
 
Kwa kawaida....Accessbank hufanya written interview and at the same date unapigiwa simu au ujumbe wa sms kama you are successful....hivyo kesho yake uta-attend information session (kupewa taarifa za salary,duties and ABT shareholding)....baada ya hapo mtafanya oral interview(discussion group).....hapo mtakaa kama siku mbili then mtaitwa Branch interview (with Branch manager on selected branch).....baada ya kama wiki hivi mtapigiwa mliofaulu kwa ajili ya one week branch attachment!
Then mnarudi mwezi mmoja darasani kwa malipo ya 250,000 kwa mwezi ila chakula mtapata bure!
Mkimaliza mtapiga paper,na watakaopata above 50% ndio wataitwa kuanza kazi rasmi.
Huu ndio mchakato halisi.......
 
are u serious na kupata kazia aua unataka unafanyiwa interview baada ya wiki ya siku 3 uanze kazi? be serious, mchakato wa kazi ni mrefu na unachukua si kipindi kisichopungua mwezi mmoja, narudia inachukua kipindi kisichopungua mwezi mmoja,,,tatizo watz tunataka vitu harakaharaka,,,na nyie. ndo mkiajiliwa mnataka leo uneingia kazin baada ya wiki unataka ueneshe gari bila kufikilia kila kitu kizuri kinatakiwa maandalizi ya muda mrefu,,

We magamba matatu

Pokea ushauri huu!

weka avarta ya Rostam, chenge na Lowassa
 
Kwa kawaida....Accessbank hufanya written interview and at the same date unapigiwa simu au ujumbe wa sms kama you are successful....hivyo kesho yake uta-attend information session (kupewa taarifa za salary,duties and ABT shareholding)....baada ya hapo mtafanya oral interview(discussion group).....hapo mtakaa kama siku mbili then mtaitwa Branch interview (with Branch manager on selected branch).....baada ya kama wiki hivi mtapigiwa mliofaulu kwa ajili ya one week branch attachment!
Then mnarudi mwezi mmoja darasani kwa malipo ya 250,000 kwa mwezi ila chakula mtapata bure!
Mkimaliza mtapiga paper,na watakaopata above 50% ndio wataitwa kuanza kazi rasmi.
Huu ndio mchakato halisi.......

Nashukuru sana kwa taarifa ndugu
 
Nashukuru sana wadau kwa ushauri wenu. Hadi sasa nimeona kimya, nimejiconsider unsuccessful, nakuanza plan nyingine. Asanteni
 
Back
Top Bottom