Msiba wa Taifa
Senior Member
- Nov 3, 2016
- 128
- 53
Jamani nmewapigia simu loan board wameniambia hakuna tena majina
Ila 5000 yaliobaki ni kwa wale watakao appeals.
Sasa jamani ntafanyaje??
Sina uwezo wa kujisomesha.
Au walitaka nidanganye mimi yatima nawakati sikweli.!!
Eeeeh Mungu nisaidie nafunga mabegi narud kwetu.
Ila 5000 yaliobaki ni kwa wale watakao appeals.
Sasa jamani ntafanyaje??
Sina uwezo wa kujisomesha.
Au walitaka nidanganye mimi yatima nawakati sikweli.!!
Eeeeh Mungu nisaidie nafunga mabegi narud kwetu.