Peleka stress zako kule ukajifunze kwanza kuandika. Msomi wa chuo unaandika hovyo hovyo tu ukielekezwa unawaka? Ndio maana mnalialia hampati ajira wakati hamna umakini. Unadhani utaandika barua ya maombi ya ajira umejaza upuuzi wako huo halafu nani aiangalie wakati kuna barua 400 za maombi.