Msaada wa Ki-bank kwa ajili ya kampuni

nanonya

Member
Sep 3, 2014
42
95
Hello,
Wakuu nimesajili kampuni juzi sasa nahitaji kwenda kufungua bank account kwa ajili ya transaction za hii kampuni yangu inaoperate interms of dollars,
naombeni ushauri
1.)ni bank gani wanatoza ada ndogo kwa transactions
2.)ni bank gani naweza kupata mkopo wenye riba ndogo after my 1 year of operations
3.)ni idea nzuri kuwa na bank accounts zaidi ya kampuni moja katika bank tofauti tofauti mfano kampuni XYZ inakuwa na account stanbic na bank abc?
4.)bank gani nzuri katika kufanya transaction za dollars (mfano juzi nlienda bank kubwa tu hapa nchini cha ajabu teller dolla 100 ananishangaa kama vile naweka pesa za escrow )

Ahsante kwa ushauri wako.
 
FaizaFoxy

JF-Expert Member
Apr 13, 2011
71,523
2,000

Nenda benki za Kiislaam hawana riba kabisa na huduma zao ni first class, sasa hivi hata Ulaya trend ni Islamic Banking.
 
nanonya

Member
Sep 3, 2014
42
95
Nenda benki za Kiislaam hawana riba kabisa na huduma zao ni first class, sasa hivi hata Ulaya trend ni Islamic Banking.

ahsante, unanishauri vipi kuhusu kufungua account katika banki mbili tofauti? ila kampuni ni moja...
 
FaizaFoxy

JF-Expert Member
Apr 13, 2011
71,523
2,000
ahsante, unanishauri vipi kuhusu kufungua account katika banki mbili tofauti? ila kampuni ni moja...

Sidhani kama kuna convenience yoyote katika hilo. Ni bora u deal na bank moja tu mwanzoni.
 
1701

JF-Expert Member
Jun 30, 2011
861
500
Inategemea na ukubwa wa kampuni yako,lakini bank m is the best,hata uweke dollar million 2 hakuna wa kukushangaa,alaf huduma ni faster,nje ya hapo nenda i and m bank na0‹2 pia ni secure!otherws napendekeza stanbic,kwa mikopo isiyo na usumbufu bas fungua standardchartd,hawa jamaa sio waswahl hata kdogo ingawa usishangae kukutana na nyodo kama una transact fedha kdogo
 
nanonya

Member
Sep 3, 2014
42
95
Sidhani kama kuna convenience yoyote katika hilo. Ni bora u deal na bank moja tu mwanzoni.

Ndio hiyo ni point muhimu sana, lakini jaribu ku angalia wateja wangu ambao ni watanzania, na ukiangalia nahitaji bank ambayo inamatawi mengi kwa urahisi wa wateja, unadhani CRDB ni sehemu muhimu na sahihi?
 
FaizaFoxy

JF-Expert Member
Apr 13, 2011
71,523
2,000
Ndio hiyo ni point muhimu sana, lakini jaribu ku angalia wateja wangu ambao ni watanzania, na ukiangalia nahitaji bank ambayo inamatawi mengi kwa urahisi wa wateja, unadhani CRDB ni sehemu muhimu na sahihi?

Bank yoyote iliyopo Tanzania ina deal na benki zote, sioni tatizo.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom