Captain-Sparta
Senior Member
- Sep 9, 2016
- 175
- 172
Na ww unatega mkopo?abeee
Na ww unatega mkopo?abeee
😀😀😀 natega kotekote,hata wewe ntakutega tuNa ww unatega mkopo?
Ungekuwa mbunge ungewafanyia nin wananchi wako?😀😀😀 natega kotekote,hata wewe ntakutega tu
asee nina allergy na siasa...Ungekuwa mbunge ungewafanyia nin wananchi wako?
Siyo neno la kiingereza hilo!continous
Na kiingereza hiki cha continous huna supp? Kweli bodi watazame upya vigezo vya wakopaji, madaktari wamekosa mikopo.wale continous allocation zao zimetoka lkn kama ulisup...au ulishikwa hata coursework moja mkopo haupo labda batch inginee
😀😀😀mwache continous student wanguNa kiingereza hiki cha continous huna supp? Kweli bodi watazame upya vigezo vya wakopaji, madaktari wamekosa mikopo.
ikr....si nimeshasema i was just making fun of him???Siyo neno la kiingereza hilo!
Vipi tunaangalizia wapi.? na sisi wa kile chuo kikubwa cha kata cha vilazer tumo.!?mtaelewa tu km ni correct au laaah mbele kwa mbele we reason uwezavyo
Continous ndio kitu gani..!?wale continous allocation zao zimetoka lkn kama ulisup...au ulishikwa hata coursework moja mkopo haupo labda batch inginee
😀😀😀mtaelewa tu km ni correct au laaah mbele kwa mbele we reason uwezavyo
Mikopo imesitishwa sacoss na prideasee nina allergy na siasa...
wale continous allocation zao zimetoka lkn kama ulisup...au ulishikwa hata coursework moja mkopo haupo labda batch inginee