NINAHASIRA
Member
- Nov 5, 2010
- 58
- 9
mpira sio umbo kijana! kumbuka maximo naye alichanganyikiwa na umbo la mwaikimba lakini baada ya mechi chache aligundua kuwa ni garasa! sasa unaponiambia umbo lake litasaidia hata sikuelewi! Pili anaonekana hafundishiki kama walivyo wachezaji wengi wa kibongo. Hivyo mm suala la kufanya majaribio katika staz kwa kuwa mechi ya moroco mipira ilikuwa inapotea sikubaliani nalo!
Tutafungua thread baada ya Challenge,kwa sasa tutajadili mambo yasiyo na tija,kocha hakukaa ofisini pale Karume,katembea kafika hadi Songea akaibuka na kipa kule,hajasubiri kuletewa majina na "Jumapili"Kayuni,katafuta mwenyewe,tena kwa kufunga safari.mpira ni umbo kaka,kila position na umbo lake.huwezi kumtumia ngasa kama lone striker,mwaikimba body linaruhusu kama drogba,GUIZA,TORRES,ADRIANOhata rooney anamwili bana!Mwaikimba anafundishika ila kelele za wa2 kama nyie ndo mnaharibu.mwacheni kocha afanye kazi yake.
Ni kweli kocha kangalia karibu nusu ya mechi zote za mzunguko wa kwanza ameshakaa na mgosi anamfahamu, amesha muona mwaikimba acha amjaribu....Hata hivyo mgosi kwa sasa hayuko fit kivileTutafungua thread baada ya Challenge,kwa sasa tutajadili mambo yasiyo na tija,kocha hakukaa ofisini pale Karume,katembea kafika hadi Songea akaibuka na kipa kule,hajasubiri kuletewa majina na "Jumapili"Kayuni,katafuta mwenyewe,tena kwa kufunga safari.
Tuwe na subira kidogo,ili tupate tunachokililia kwa muda mrefu
umeona hashycool!! yani mwaikimba hakuna kitu mi nawaambia tutaona tena! subirini