Lloyd Austin aiambia Israeli iendelee kuwaangamiza Hamas

uwe hodari

JF-Expert Member
Dec 16, 2022
3,999
8,386
Waziri wa usalama wa USA alizuru israeli kwa mara ya tatu ndani ya mwezi mmoja.

Baada ya mazungumzo na serikali ya Tel aviv ameruhusu israeli iendelee kuwamaliza magaidi ya Hamas.

Ikumbukwe baraza la umoja wa mataifa lilipiga kura ya kusitishwa vita ya israeli na magaidi ya mahas.

Lakini nchi zenye nguvu duniani zilipiga kura ya hapana ama zilijitenga na ile kura ya ubatili.

Hata hivyo waziri huyo wa ulinzi ameiambia israeli izingatie maaneo ya watu wengi hata km magaidi wamejificha.

Waziri wa ulinzi wa israeli alisema wangeweza kumaliza vita gaza kwa siku moja lkn wanazingatia maisha ya watu wasio na hatia hasa watoto na wazee wasiojieweza.

Credit: Reuters
 
Hamas hawakufikiria consequences za hatua zao za 7/10/2023.
Bahati mbaya nawaona kama jamii inayofanya mambo kishabiki bila kuhoji athari zake. Pia na mafundisho yao ya Imani ni tatizo.
Kwa ubora tulioaminishwa navyombo vya habari kuhusu jeshi la Israel, nilidhani Israel atawamaliza Hamas ndani ya siku 3. Lakini kumbe Jeshi la Israel hamna kitu kabisa.
 
Waziri wa usalama wa USA alizuru israeli kwa mara ya tatu ndani ya mwezi mmoja.

Baada ya mazungumzo na serikali ya Tel aviv ameruhusu israeli iendelee kuwamaliza magaidi ya Hamas.

Ikumbukwe baraza la umoja wa mataifa lilipiga kura ya kusitishwa vita ya israeli na magaidi ya mahas.

Lakini nchi zenye nguvu duniani zilipiga kura ya hapana ama zilijitenga na ile kura ya ubatili.

Hata hivyo waziri huyo wa ulinzi ameiambia israeli izingatie maaneo ya watu wengi hata km magaidi wamejificha.

Waziri wa ulinzi wa israeli alisema wangeweza kumaliza vita gaza kwa siku moja lkn wanazingatia maisha ya watu wasio na hatia hasa watoto na wazee wasiojieweza.

Credit: Reuters
Marekani sio kama anaruhusu ila anatekeleza Benjamin anachotaka! Marekani aina nguvu ya kuzuia Israel kufanya unyama!

Uchumi wa Marekani umekamatwa na Wazayuni (Askhenazi) hataki ata kidogo kuwaudhi na ndiyo maana Marekani yuko tayari kupigana ili ailinde Israel.

Haya sio ya leo! Ata sababu ya uanzishwaji wa wa Taifa la Israel, Uingereza akitaka backup ya kiuchumi toka kwa Askhenazi (Wazayuni) na ndiyo maana akawa tayari kuwatafutia eneo ili waanzishe Taifa lao!
 
Kaangalie aljazeera uko acha kusikiliza stori za karume kijiweni
Endeleeni kulialia
Hamas wamesema wataendelea kuwapelekea moto magaidi wa kizayuni mpaka wakome
Shaba tu na makombora kwa magaidi mazayuni
Nasikia na hamas mmeifuta rasmi jana enyi mazayuni
Nasikia mateka wote wametua tel aviv jana jioni hongereni idf na wazayuni wa jf woote
 
Marekani sio kama anaruhusu ila anatekeleza Benjamin anachotaka! Marekani aina nguvu ya kuzuia Israel kufanya unyama!

Uchumi wa Marekani umekamatwa na Wazayuni (Askhenazi) hataki ata kidogo kuwaudhi na ndiyo maana Marekani yuko tayari kupigana ili ailinde Israel.

Haya sio ya leo! Ata sababu ya uanzishwaji wa wa Taifa la Israel, Uingereza akitaka backup ya kiuchumi toka kwa Askhenazi (Wazayuni) na ndiyo maana akawa tayari kuwatafutia eneo ili waanzishe Taifa lao!
Unajitahidi kila unadikapo humu kuua ukweli, wayahudi ni wana wa mtoto wa Israel aitwaye Yuda, waisraeli ni kwa ujumla wao ni uzao wa Yakobo aitwaye Yakobo.

Kifupi hao ni wajukuu na vitukuu vya Ibrahim. Ambaye Mungu alimpa ardhi hiyo. Kutawanyika kwao baada ya kupigwa na warumi kuliwafanya kwenda mataifa mbalimbali duniani, walifanikiwa sana kiuchumi huko, hasa Ulaya, na hata sasa .
Wazayuni ni jamii gani?
 
Kupigana na watu wanaovaa kiraia

Wanaotumia watoto na kina mama km ngao

Wanaijificha msikitini na kanisani

Wanaojificha kwenye mahandaki

Inahitaji akili km wanaotumia israeli

Ndio maana waziri wa ulinzi wa israeli amesema wangeweza kuingamiza gaza yote kwa siku moja ila wanazingatia utu licha ya magaidi kujificha kwa raia
Kwa ubora tulioaminishwa navyombo vya habari kuhusu jeshi la Israel, nilidhani Israel atawamaliza Hamas ndani ya siku 3. Lakini kumbe Jeshi la Israel hamna kitu kabisa.
 
Kwa ubora tulioaminishwa navyombo vya habari kuhusu jeshi la Israel, nilidhani Israel atawamaliza Hamas ndani ya siku 3. Lakini kumbe Jeshi la Israel hamna kitu kabisa.
Israel wakiamua kuweka utu na ubinaadamu pembeni. Hivyo vita ni vya siku mbili tu wala si tatu kama unavyosema.
 
Kupigana na watu wanaovaa kiraia

Wanaotumia watoto na kina mama km ngao

Wanaijificha msikitini na kanisani

Wanaojificha kwenye mahandaki

Inahitaji akili km wanaotumia israeli

Ndio maana waziri wa ulinzi wa israeli amesema wangeweza kuingamiza gaza yote kwa siku moja ila wanazingatia utu licha ya magaidi kujificha kwa raia
Mazayuni hayajawahi kua na utu
Washapiga hospital makanisa misikiti shule kambi za wakimbizi
Sasa hapa ndio wamezingatia utu wanaousema wasingezitia utu hawa mbwa wangefanyaje?
Wanajua hapo hawatoboi ndio maana wengine wanashauriana kutumia mpaka nyuklia maana wanajua kama ngoma hapo ngumu
Hamas kamatieni hapo hapo mpo kwenye mkondo sahihi
 
Israeli ana utu ndio maana waziri wa ulinzi wa israeli amesema wangeweza kumaliza vita kwa siku moja lkn wanazingatia utu

Magaidi ya hamas yanalengwa moja moja yaani nyumba kwa nyumba na unavyojua gaza ni densely populated lzm kuna raia wasiojitambua watapitiwa
 
Kupigana na watu wanaovaa kiraia

Wanaotumia watoto na kina mama km ngao

Wanaijificha msikitini na kanisani

Wanaojificha kwenye mahandaki

Inahitaji akili km wanaotumia israeli

Ndio maana waziri wa ulinzi wa israeli amesema wangeweza kuingamiza gaza yote kwa siku moja ila wanazingatia utu licha ya magaidi kujificha kwa raia
Israeli imeshashindwa hii vita.
 
Back
Top Bottom