LLB ya TURDACO NA OPEN UNIVERSITY IPI INAHESHIMA MTAANI?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

LLB ya TURDACO NA OPEN UNIVERSITY IPI INAHESHIMA MTAANI??

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Kottler Masoko, Aug 22, 2012.

 1. Kottler Masoko

  Kottler Masoko Senior Member

  #1
  Aug 22, 2012
  Joined: May 28, 2010
  Messages: 179
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kuna dogo wangu kachaguliwa LLB Open University anataka kubadilisha kwenda LLB ya jioni pale Turdaco.

  1. Je inawezekana kubadili chuo after hizo Admission za TCU?
  2. Vipi kuhusu sifa za ki-academic baina ya shule hizo mbili?

  Nawakilisha kwenu wadau.
   
 2. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #2
  Aug 22, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,828
  Trophy Points: 280
  Competency ya mtu haitokani na chuo, ni juhudu yako tu. Particularly kwa arts subjects ambazo you do not need a laboratory. Ni kutafuta reading materials kusoma na kuelewa. Tungekutana ningelikuwa na wewe tukasoma
   
Loading...