LLB UDSM vs LLB Tumaini Makumira

Hvi udsm ni chuo cha kujivujia pia????
 
Mkuu hapa hutapata msaada bali utaambulia kuona ligi kati ya wana udsm na watu waliosoma vyuo vingine.
 
dah!kweli unafananisha udsm na tumaini...una akili timamu kweli mkuu?
 
Mmmmh basi kama ni hivyo wangepata ajira wa UDSM tu ni kwasababu ya ukongwe wa chuo tu ila waliotoka vyuo vingine wako juu kushinda wa UDSM so ni ukongwe tu
Yap,true,UDSM ni ukongwe tu,mi nlishawahi kufanya usaili tulikuwa IAA,IFM,UDSM, na vyuo vingine post ya IT.Nakwambia ile post walipata IFM na IAA. UDSM chalii!so UDSM ni jina tu si tupo nao tunawaona wahitimu wa UDSM huku maofisini!Therez nothing special abt them,kawaida sana tu!
 
linganisha udsm na mzumbe angalau watachangia vizuri , tumaini na saut
 
sikumjibu mtoa mada, kuna mtu nilimjibu hapo juu
 
Sawa...
Jibu lako kwa mtoa mada ni lipi..?
Sijasoma huko ila naskia hivi vyuo wako vizuri sana kwa law. Kuna ndugu zangu walisoma law tumain walinipa hizi habari saivi wako job.
Mtoa mada ni yeye tuu aangalie moyo wake ila vyote vina ubora namhakikishia.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…