lizzy na uporoto1

usidanganyike na signaturi shosti yangu,nimekwambia nisaidie maombi,au kama hutak nambie mana martha mwaipaja aliimba kuwa wkt wa shida hata mashoga zako watajitenga nawe...lolmaombi bado yanahitajika


Hio post juu ya hii ninayo kujibu kaeleza kuwa wewe ni sweetie wake usione kanukuu vibaya... hua nafanya nae kazi huyu jamaa.. mambo mengi humaanisha... legeza basi moyo kidogo....
 
 
 
Hio post juu ya hii ninayo kujibu kaeleza kuwa wewe ni sweetie wake usione kanukuu vibaya... hua nafanya nae kazi huyu jamaa.. mambo mengi humaanisha... legeza basi moyo kidogo....

hahahahaahhaaaaaaaa shosti kuna company inatafuta comedians,
hata mim namaanisha nikisema nisaidie maombi lkn unanipoitezea,sikuelewi
,ntasali mwenyewe lkn sio vizuri hivyo,
hiv nilkwambia im:mimba: but sitak uporoto ajue sbb kuna mtu nshambambikia kakubal ni wake,na matunzo keshaanza kutoa,
nasema 😛ray2: sbb im:confused3:
 
picha nzuri sana. Inaonyesha imepigwa maeneo ya kusini mwa Tanzania sehemu yenye baridi kali. Pia watoto wamevalishwa viatu oversize ili waweze kuendelea kuvivaa hivyo viatu hata kama wataongezeka maumbile ya miguu.
 
hadi uo mjinsi uvuliwe na kina babuseya, watu watakuwa wameshafika..ulinzi tosha kwa huyo dogo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…