Ninaomba kufahamishwa maduka yanayouza manukato (perfumes) halisi hapa Dar. Ninapenda nipate marashi yanayoanzia elfu themanini(80,000) hadi laki moja na hamsini(150,000).
Nje pia ninapata changamoto. Ni watu gani wa uhakika hufanya bizness za online hapa Tz? Baadhi niliona wanatuuzia hizihizi bidhaa zetu zinazowekwa juu ya meza Kariakoo.