Liwalo na liwe

Maghayo

JF-Expert Member
Oct 5, 2014
13,728
29,103
I hate you all. I dont care. Siishi maisha yangu kwa ajili ya yoyote. Nilikuja duniani kivyangu na nitaondoka kivyangu.

I don't care about anything sasa hivi simuamini yoyote hata mtoto mdogo.

Wasaliti, wadhulumati na waonevu wote kufeni wote na msifufuke hata mkifa katika Yesu.

Nyau nyie
 
One man down. Kitu kizito tayari kwenye utosi wa cheusi Mangala.
By the way, ustupangie Cha kufanya hapa wakati hutulipii bando.
 
I hate you all. I dont care. Siishi maisha yangu kwa ajili ya yoyote. Nilikuja duniani kivyangu na nitaondoka kivyangu.

I don't care about anything sasa hivi simuamini yoyote hata mtoto mdogo.

Wasaliti, wadhulumati na waonevu wote kufeni wote na msifufuke hata mkifa katika Yesu.

Nyau nyie
Mkuu mpaka umetoa avatar ya handsome wa kijiji! kweli wahuni wamekupiga parefu.

unataka kusema ile bajeti ya kujenga gorofa yote wamepita nayo?

rudi hom.... au basiii
 
I hate you all. I dont care. Siishi maisha yangu kwa ajili ya yoyote. Nilikuja duniani kivyangu na nitaondoka kivyangu.

I don't care about anything sasa hivi simuamini yoyote hata mtoto mdogo.

Wasaliti, wadhulumati na waonevu wote kufeni wote na msifufuke hata mkifa katika Yesu.

Nyau nyie
Ili kuepukana na adha hizo na kuwa kero Kwa jamii Bora ujinyonge tuu tufunge ukurasa 😁😁
 
Back
Top Bottom