Mwache Lusinde aendelee kutafuta fursa,umejuaje kama siasa zake hazina nafasi Tanzania ya SSH au unataka kumpangia mama?Namsikiliza Livingstone Lusinde, kama kawaida yake anafikiri zile siasa zake za kutukana na kupayuka Bungeni bado zina nafasi kwa Tanzania ya leo. Nampa pole, nafahamu siku za nyuma alikuwa akitumwa na Chief Whip kwa agenda zao Bungeni hasa kufunika masuala kadhaa ya ufisadi , kushambulia upinzani na kista kumsifia Hayati Mhe. JPM. Kwa siku zote hizo alikuwa akilipwa fedha za walipa kodi kama shukrani. Lusinde akaona hayo ndo maisha, akanunua na BMW Nyeusi, akajiona mwenye heri sana.
Tangu Mhe. JPM amefariki, mirija ya Lusinde imekatwa, leo anajidai kujipendekeza kwa Mheshiwa Rais aliyepo akidhani mirija itafunguka, tunampa pole hakuna fedha za Rogue Units kama ilivyokuwa hapo awali. Lusinde utaongea hadi sauti hadi iishe, Mama Samia hana muda na wewe, ana akili zake na ana wasaidizi wake wanaomshauri ipasavyo.
Mwisho niwashauri Lusinde, Msukuma, Jenister na wenzenu, nguzo yenu imeanguka, muukubali ukweli wa Mungu kuwa JPM ametangulia mbele ya haki na Rais aliyepo ni Mhe. Samia Hassan. Aidha, Ndugai kuwa makini na Lusinde aliwahi kusema utarudi kama CARGO ukiwa matibabu India. Ni bahati ulirudi ukiwa mzima.
Lusinde ni scam kabisa
Lusinde,Msukuma,Ally kessy ni makomediani.
😂😂😂😂😂100% Uko sahihi na ulichokiandika ila Umemsahau Yule Zombi a.ka, Mwanaharakati huru "god wao" Mungu alimpenda Zaidi, Kwa sasa watulie tujenge nchi kistaarabu. Siasa zao za Majitaka sote tuzikae kwani tunataka Kujenga taifa lenye upendo na Mshikamano.
Misukule ya magufuli hiyo.Namsikiliza Livingstone Lusinde, kama kawaida yake anafikiri zile siasa zake za kutukana na kupayuka Bungeni bado zina nafasi kwa Tanzania ya leo. Nampa pole, nafahamu siku za nyuma alikuwa akitumwa na Chief Whip kwa agenda zao Bungeni hasa kufunika masuala kadhaa ya ufisadi , kushambulia upinzani na kista kumsifia Hayati Mhe. JPM. Kwa siku zote hizo alikuwa akilipwa fedha za walipa kodi kama shukrani. Lusinde akaona hayo ndo maisha, akanunua na BMW Nyeusi, akajiona mwenye heri sana.
Tangu Mhe. JPM amefariki, mirija ya Lusinde imekatwa, leo anajidai kujipendekeza kwa Mheshiwa Rais aliyepo akidhani mirija itafunguka, tunampa pole hakuna fedha za Rogue Units kama ilivyokuwa hapo awali. Lusinde utaongea hadi sauti hadi iishe, Mama Samia hana muda na wewe, ana akili zake na ana wasaidizi wake wanaomshauri ipasavyo.
Mwisho niwashauri Lusinde, Msukuma, Jenister na wenzenu, nguzo yenu imeanguka, muukubali ukweli wa Mungu kuwa JPM ametangulia mbele ya haki na Rais aliyepo ni Mhe. Samia Hassan. Aidha, Ndugai kuwa makini na Lusinde aliwahi kusema utarudi kama CARGO ukiwa matibabu India. Ni bahati ulirudi ukiwa mzima.
Misukule hii haijui nyakati zimebadilika sasaMisukule ya magufuli hiyo.
Jenista silaha yake ni utii….kwa hiyo sidhani kama atakuwa na issue.Jenista sijui atatumia mbinu gani kukaa Kwa mama..
Wale Ma Rais wa kiume ilikuwa rahisi kwake
Alikuwa anatumia kitu gani mkuu?Jenista sijui atatumia mbinu gani kukaa Kwa mama..
Wale Ma Rais wa kiume ilikuwa rahisi kwake
Unataka kujiunga na chama?Misukule hii haijui nyakati zimebadilika sasa
Anaogopa kukitaja kwani Bw Yule anaweza kunyanyuka na kupiga chafyaAlikuwa anatumia kitu gani mkuu?