Livingstone Lusinde(Mb): Muuza kahawa aliyemuoa house girl!

katiba ya kujua kusoma na kuandika kama sifa ya mbunge inaleta dharau kwa wasomi,yaani muuza kahawa anakuja sema ana maisha mazuri kuliko msomi kisa kupiga domo na kujipendekeza tu.
Mkuu....
Kibajaji alisema kwamba alifanikiwa hata kabla ya kuwa MB. Na kilicho mfanya akafanikiwa hata kuzidi mawaziri ni uaminifu .
 
Ifike hatua bunge liweke kiwango walau cha form four ili mtu awe mbunge...
 
Hii ni aina ya vinasaba vya wivu wa hali ya juu kwa kiwango cha lami.
Hivi kumbe..... mtu ambae hajasoma haruhusiwi kupata mafanikio....
Kuna ubora wowote wa hotuba za watu kama hawa mbali na kumimina mitusi na dhihaka? Kama upo paste hapa
 
Hivi wakitakiwa wenye nidhamu wapite mbele, nae huyu atakuwa miongoni mwao shuwaini huyu?!!
 
Back
Top Bottom