Yani kalinikera kweli kalikua kanaongea utadhani ni ka MC ka vigodoro lol shule ndogo kweli na bado kakata kuudanganya umma eti hakuna Haramu kwenye ndoa na kakatoa tafsiri ya uongo kwani tafsiri halisi ya halichokiongea kiarabu ni " Mwanaume atakua msimamizi au kiongoz wa mwanke" sasa sijui kalikua kanamdanya nani? kakaongea pumba na maneno ya shombo mara ntakupa MAKAVU we NASSARI nini maana ya makavu? mbona ata ss lugha za mateja tunazijua lakini BUNGENI hazifai mara huyo aliniomba ila huo mchezo mie sifanyagi BULL SHIT ndo tukuone wa maana au punguani? CCM ijaribu kuweka wabunge wenye akili na sio type hii