halftime liverpool 4-0 arsenal
yaan nimeondoka na maji nimeagiza hata sijaweza kunywa hapa nimepack gar nasikia kwenye redio half time naona kama nitagongwa jamani 4????
Haya sasa ni half time viongozi wetu wa ligi mmetandikwa 4---0
Zungumza tena au ndo ww nasikia baada ya kushuhudia kichapo umegoma kulipa bia ulizokunywa kwa hasira
Sasa wenger atuonyeshe ugreat manager wake afanye something imposible either apindue matokeo au azuie yasiongezwe zaidi na walau apate mawilii so far ozil naona leo game imemkataa kabisa/mechi imemshinda,
Chelsea akishinda na Man city akishinda man city ataongoza kwa tofauti ya magoli. Labda Norwich amshike shati City afu Chelsea tumkekete mtu hapo raha sana