Liverpool vs Arsenal EPL 8/2/2014 Live Updates

hahaaaa..wanatanua sana miguu arsenal
 
Arsenal 4 liverpl 0
dk ya 37
mpra unaendlea
 
Natamani mpaka nivue nguo, ooh jamani naonaje raha.
Uwiiiii...!
Endeleeni kunipa raha the reds.
 
Niko na Mshabiki wa Arsenal anakataa kulipa bill ya bia alizokunywa lakini tunampa matumaini kua hayo magoli yatarudi na anatullia! More Updates coming!

Mkuu Mlipie Tu Huyo Atawatoroka Sidhani Atakaa Mpaka Game Iiishe, Atakufa Kwa Presha
 
Noma goli 4 ndani ya Dakika 20?!!
 
Arsenal 4 liverpl 0
dk ya 37
mpra unaendlea
Duh!! Sasa sijui niamini lipi, inamaana Magoli ya Liverpool yamefutwa na Arsenal wanaongoza magoli 4 kwa 0?

Nimeanza kukosa Imani JF.
 
Mashabiki wa Arsenal nakuja kwenye uzi wenu muda si mrefu...

"Nlikuwepo":bolt:
 
Wadau ndo nimewasha t.v nw,umeme ulikuwa umekatika net inazingia jf ndo kabisaa nakutana na haya matokeo ambayo sikuyatarajia whats happening to arsenal mpk wakalala mabao yote haya???
 
Leo Liva inakula tatu moja tu tunasonga mbele.

Uko geust house gani uko unaangalia huo mpira.
Kwa taarifa tu mpaka sasa umeshatiwa bao 4:0.
Skrtel 1'
Skrtel 10'
Stearling 16'
Sturridge 19'

game half time now.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…