Ya ni kweli ukweli mtu anakubali kama vile walivyozichoma moto man united kipindi kile kule sunderland zao za official change room.Hizi zitachomwa moto
Ya ni kweli ukweli mtu anakubali kama vile walivyozichoma moto man united kipindi kile kule sunderland zao za official change room.Hizi zitachomwa moto
Ila still naiombea mbaya man city hata apigwe mechi moja, ila dah sijui maana yule jamaa sio kabisa ashindwagi kabisa.
Sijawahi kuomba dua mbaya lakini sasa inanilazimu "MUNGU WANGU NAKUOMBA, MAN CITY WAFUNGWE MECHI ZOTE ZILIZOBAKI NA LIVERPOOL ASHINDE MCHEZO ULIOBAKI (Na sisi mwaka huu tuonje furaha).....AAAMEN.