shortlisted1
JF-Expert Member
- Apr 2, 2014
- 352
- 128
Hiyo ndio tunaweza kusema ndio kauli yetu kwa sasa yaani ni kichapo tuuu katoka mtaa mmoja hadi mtaa mwingine....Wanakwambia mwenge hauruki kijiji, lazima kila anayekuja achukue DOZI yake arudi kwao...sasa wiki hii kiama kinaelekea pale CARROW ROAD. Yaani we acha tu watajuta kumuamsha simba aliyelala. Kuna katimu flani washabika wake wanambwela sana eti wataifunga liverpool sisi hatuengia kuhusu wao sasa sisi akili zetu zipo CARROW ROAD tu.....tena msituchangante kabisa. Chakufanya sasa hivi nawashauri watie maji tuu nywele zao kana hawaamini wawaulize wenzao walioshinda kwa fitna kwenye michezo ya nyumbani kwao nini kilwliwakuta pale ANFIELD. Karibuni sana CARROW ROAD najua mtakuwa wengi.