LIVE:Yanga VS Black Leopard CCM Kirumba

Aah wapi Jery Tegete.....Tege'Magoli
 
Oyaa somebody atupie matokeo hapa,ngapiX2
 
Mapumziko 1-1 uwanja wa CCM Kirumba mwanza.
 
Timu ndio kwanza zinatoka vyumbani kuana kipindi cha pili.
 
Kipindi cha pili kimeanza wameingia Tegete,Niyonzima,Kavumbagu,Domayo na Chuji.
 
Aah wapi Jery Tegete.....Tege'Magoli
Mkuu Anselm nakumbuka kipindi kile Frank Domayo ameitwa kwenye timu ya Taifa ulikuwa unaponda sana, vipi unaweza kukubali sasa kwamba kocha aliona kitu kwa huyu dogo?
 
Tupe utamu wa yanga mkuu, vipi wanacheza vizuri? Tupe matokeo

Mkuu kidogo wanajitahidi,lakini kuna sub ya hatari imefanyika hapa,ambapo wameingia ndani ya nyumba Tegete ambye ana bahti sana na uwanja wa Kirumba,Domayo,Niyonzima,Chuji,na Kavumbagu.Yanga wakosa goli,Musuva anakosa bao la wazi hapa,haki ya mama yangu.
 
Kavumbagu anakosa bao lingine hapa,ni hatari kwelikweli,Yanga sasa wancheza Mpira.
 
Yanga wanapata penati baada ya kavumbagu kufanyiwa faulu.
 
Tegete anafunga,Yanga2-Chui weusi 1 dakika ya 55
 
Sasa Yanga sasa wameanza kuonesha yale ya Uturuki,mpira unachezwa,nilisema ile sub ni ya hatari na inaonesha kweli kwamba ni ya hatari.
 
Naam hawa paka mweusi wamecharuka,ndani ya dakika mbili wanakosa magoli mawili,nao wamefanya sub wameingiza achezaji watatu ni hatari kwelikweli.
 
Kavumbagu anakosa bao lingine hapa kiwa yeye na kipa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…