blackwoman
Member
- Jun 12, 2013
- 14
- 1
Niko uwanja wa mbauda sokoni watu wanazidi huku wakiwa wamependeza kwa kijani na njano kujaa kuna piki piki, magari na mabus mawili.
CCM nambari wani! hii kata ni yetu tu
ninapicha ila sijui namna ya kuziweka..
CCM nambari wani! hii kata ni yetu tu
ninapicha ila sijui namna ya kuziweka..