live uzinduzi wa ccm sombetini

live uzinduzi wa ccm sombetini

Mzee wa miaka 80 aliyekua mtendaji mkuu wa wilaya ya Mbarali, Mbozi district commissioner (miaka ya 70's), Mwenyekiti wa kijiji cha Chimala, na alisha shika nyadhifa nyingi ndani ya CCM. Bado ni kada wa CCM, kwa maana hajarudisha kadi; ila anapenda upinzani uimalike.

Leo Chimala ametoa kiwanja kwaajili ya tawi la bodaboda Chimala stand ( the best location in Chimala)

Sugu na Dr. Slaa walikuwepo kwenye ufunguzi wa tawi hili la bodaboda.

Cdm ni mpango wa Mungu!
 
mabasi ya nini hapo??? hivi hamuwezi kufanya mkutano hadi msombe watu ka mabasi au mafuso???
 
Back
Top Bottom