Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,641
Kama tunavyojua wananchi wa drc wapo kwenye zoezi la upigaji kura
Tangu kifo cha mzalendo namba moja wa drc apokonywe madaraka congo haijashuhudia uchaguzi wa kidemokrasia
Kuna wagombea wengi ila kuna watatu wenye ushawishi zaidi.
1.Martin fyatu
Mwenye miaka 62 kutoka chama cha Ecide lakini anagombea kupitia mwamvuli wa muungano wa LAMUKA
Ni mkiristo kwa dini amekuwa mbunge tangu mwaka 2006 kabla ya hapo alikuwa mkurugenzi mkuu wa kampuni ya mafuta bahati mbaya haaminiki miongoni mwa watu masikini wanamsema ni mtetezi wa mabeberu.nafasi yake ni finyu kushinda
Emmanuel Ramadhan Shadary.
Mwenye miaka 58 kutoka muungano wa udps , chama tawala pia lakini si muungano imara wa kisiasa nchini humo ila wanabebwa na dola .
Huyu ni kipenzi cha kabila amekuwa na nyadhifa mbalimbali chini ya kabila.anatokea mashariki anapotoka kabila anazungumza vizuri kiswahili (ni ndugu yetu) huyu ana nafasi kubwa ya kumrithi kabila kutokana na hali halisi ya kisiasa ilivyo huko
Bahati mbaya amewekewa vikwazo chungu nzima na umoja wa ulaya...
3Felix Tshiseked
Miaka 55 kutoka muungano wa udpc amebobea katika masomo ya biashara ni mtoto wa aliyekuwa mwanasiasa mahiri wa drc hayati tshiseked
Ameahidi kutokomeza umasikini bahati mbaya haaminiwi sana kutoka vyama vya upinzani, upinzani umepasuka vipande vipande kutokana na wale waliotarajiwa kugombea kufyekelewa mbali kama bemba na wenzake na tume ya uchaguzi
Je uchaguzi utaisha salama?
Heri ya mwaka mpya 2019
...
Uptodate Rais josep kabila amemtimua balozi wa ulaya nchini kongo
Sent using Jamii Forums mobile app