Live Updates: Yaliyojiri Mkutano Mkuu wa CHADEMA ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam...

Nimemsikia itv mbowe anatangaza maandamano nchi nzima..
Nakusihi mbowe usije ukajificha kama kawaida yako na kutangulizi vifaranga vipigwe risasi .mana ndo kawaida yenu kukimbia na kuacha wananchi wanaumia

Duuu serikali inavyoogopa maandamano, sijui kama mtaruhusiwa, na wabongo walivyokuwa waoga sipati pisha.
 
Nimemsikia itv mbowe anatangaza maandamano nchi nzima..
Nakusihi mbowe usije ukajificha kama kawaida yako na kutangulizi vifaranga vipigwe risasi .mana ndo kawaida yenu kukimbia na kuacha wananchi wanaumia

Maandamano yaanzie mkoa wa Kilimanjaro.
 
Nimemsikia itv mbowe anatangaza maandamano nchi nzima..
Nakusihi mbowe usije ukajificha kama kawaida yako na kutangulizi vifaranga vipigwe risasi .mana ndo kawaida yenu kukimbia na kuacha wananchi wanaumia

We can break protesters legs.No one will punish us. The law is on our side
 
Mbowe katoa agizo wanasheria wa chadema kufungua mashtaka dhidi ya wajumbe wa bunge la katiba.

HUYU NDO MWENYEKI WA CHADEMA BWANA THE MWENYEKITI. AKILI NDOGO KUONGOZA AKILI KUBWA
 
Umesahau ni mara ngapi mbowe na viongozi wengine wa chadema wamepata misukosuko kwenye maandamano?acha umburula
 
Mbowe katoa agizo wanasheria wa chadema kufungua mashtaka dhidi ya wajumbe wa bunge la katiba.

HUYU NDO MWENYEKI WA CHADEMA BWANA THE MWENYEKITI. AKILI NDOGO KUONGOZA AKILI KUBWA
unahangaika Kama kuku anaetaga subiri upate jogoo kwanza
 
Hili ni swali au hoja ya Mbowe.Kwani yaelekea Rais kakubaliana na hoja ya kusitisha bunge maalumu la katiba lakini sitta kamgomea.
lumumba buku saba tunaomba majibu
 
Wanakimbiaga na bodaboda hasa mbowe lema slaa ....wakionaga mabomu tu fasta wanasepa mana wanaandaga bodaboda pembeni ikibuma tu fasta wanasepa
 
Kwa Dar itakuwa ngumu ila wakienda Arusha, Kilimanjaro kila kitu kutafanikiwa
 
Mbowe katoa agizo wanasheria wa chadema kufungua mashtaka dhidi ya wajumbe wa bunge la katiba.

HUYU NDO MWENYEKI WA CHADEMA BWANA THE MWENYEKITI. AKILI NDOGO KUONGOZA AKILI KUBWA
nilishangaa kusikia kauli yake itv leo...ndio shida ya kua na mwenyekiti mwenye elimu ndogo. eti wataandamana nchi zima kudai bmk lisitishwe. dr slaa anamuacha m/kiti wake kutoa hutuba mataptap kiasi kile.
 
Back
Top Bottom